MEMBE ASEMA, BILA CCM KUWATIA KUFULI PASINGETOSHA URAIS 2015
Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa kuanza mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi, lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa ‘waliofungwa kufuli’. Membe anaona adhabu hiyo ilikuwa mwafaka na kwamba laiti uamuzi huo usingefanywa mapema, “ingekuwa vurugu tupu”. “Sijui nchi hii ingekuwa wapi kama watu wangeachwa bila ya kuwekewa ‘gavana’,” alisema...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Membe apongeza Kamati Kuu CCM kwa kuwatia ‘kifungoni’
10 years ago
Vijimambo17 Nov
Membe akerwa ripoti ya mbio za urais 2015
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Bernad-Membe--November17-2014.jpg)
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.
Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13;...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Membe: Tulikaangwa, tuliulizwa maswali magumu urais 2015
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Membe afunguka kuanguka urais CCM
11 years ago
Habarileo21 Feb
Membe apongeza CCM kuadhibu wasaka urais
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza kampeni za urais kabla ya muda. Membe aliyeelezea sababu za kutokea kwa utovu huo wa nidhamu, amesifu utaratibu huo wa CCM kuadhibu makada wake kuwa ni sahihi na mfumo mzuri wa kutengeneza nidhamu ndani ya chama.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake
10 years ago
Mwananchi29 Jun
Achukua fomu ya 42 urais CCM, asema yeye ni greda