Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015

Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa kuanza mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi, lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa ‘waliofungwa kufuli’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

MEMBE ASEMA, BILA CCM KUWATIA KUFULI PASINGETOSHA URAIS 2015

Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa kuanza mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi, lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa ‘waliofungwa kufuli’. Membe anaona adhabu hiyo ilikuwa mwafaka na kwamba laiti uamuzi huo usingefanywa mapema, “ingekuwa vurugu tupu”. “Sijui nchi hii ingekuwa wapi kama watu wangeachwa bila ya kuwekewa ‘gavana’,” alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

Membe akerwa ripoti ya mbio za urais 2015

 Ni ya Twaweza aliyoshika nafasi ya tanoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe.
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.

Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13;...

 

11 years ago

Mwananchi

Membe: Tulikaangwa, tuliulizwa maswali magumu urais 2015

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe amesema aliulizwa maswali mazito na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Phillip Mangula kuhusu mbio za urais 2015.

 

9 years ago

Mwananchi

Membe afunguka kuanguka urais CCM

Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amezungumzia kinyang’anyiro cha urais ndani ya CCM, akifananisha kushindwa kwake na kifo cha ghafla.

 

11 years ago

Habarileo

Membe apongeza CCM kuadhibu wasaka urais

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza kampeni za urais kabla ya muda. Membe aliyeelezea sababu za kutokea kwa utovu huo wa nidhamu, amesifu utaratibu huo wa CCM kuadhibu makada wake kuwa ni sahihi na mfumo mzuri wa kutengeneza nidhamu ndani ya chama.

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake

Dar es Salaam. Kwa mtazamo wa wengi, ilionekana dhahiri kwamba Berbard Membe alikuwa miongoni mwa wanaCCM wenye nguvu kubwa walioomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma baada ya kutangaza nia hiyo jana (Jumapili). Waziri Membe akipokelewa fomu na Mkewe Dorcas mara baada ya kukabidhiwa fomu mjini Dodoma. Waziri Membe alipokelewa na makada na wafuasi wa chama hicho mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Rajabu Ruhavi baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana kurudisha fomu za kuomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, baada ya kupata wadhamini wanaohitajika. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani