Membe apongeza CCM kuadhibu wasaka urais
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amepongeza hatua ya CCM kumpa onyo kali na kumweka chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja, kutokana na kubainika kuanza kampeni za urais kabla ya muda. Membe aliyeelezea sababu za kutokea kwa utovu huo wa nidhamu, amesifu utaratibu huo wa CCM kuadhibu makada wake kuwa ni sahihi na mfumo mzuri wa kutengeneza nidhamu ndani ya chama.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania25 Jun
Wasaka urais wengi CCM ni tegesha tu!
ONGEZEKO la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania urais mwaka huu linatazamwa na watu wengi kwamba ni matokeo ya kupanuka kwa demokrasia ndani ya chama tawala, ingawa ukweli usiopingika ni kuwa, wengi wao hawana dhamira ya kweli ya kuingia Ikulu.
Takwimu zilizopo zinaonyesha kwamba, makada zaidi ya 30 wametangaza nia na kuchukua fomu watakazotumia kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya wagombea wengine kutoka vyama vingine...
10 years ago
Habarileo21 Jun
Wasaka urais CCM wavuruga wabunge
WAKATI wasaka urais wa CCM wakizunguka nchi nzima kutafuta wadhamini ili watimize masharti ya kutimiza ndoto zao, vita ya wasaka majimbo imepamba moto kiasi cha kukimbiza wabunge na mawaziri karibu wote katika vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Membe apongeza Kamati Kuu CCM kwa kuwatia ‘kifungoni’
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Wasaka urais CCM wapigana vikumbo mikoani
Na Waandishi Wetu
HEKA HEKA za kusaka wadhamini mikoani kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaowania kugombea urais zimeendelea kushika kasi mikoani.
Wakati hayo yakiendelea, Mwenyekiti Mstaafu na kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera, Pius Ngeze ametangaza rasmi kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa katika harakati zake za kutafuta kuwa mgombea urais kupitia chama hicho.
Ngeze aliyekuwa miongozi mwa viongozi wa chama hicho mkoani humo waliojumuika...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Membe afunguka kuanguka urais CCM
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Ndoto ya Membe bado ipo upande wake
10 years ago
Habarileo05 Jan
Membe apongeza Kanisa Anglikana
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.
11 years ago
Habarileo30 Jun
Membe apongeza Kanisa Katoliki
KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.