SAKATA LA ASKOFU GWAJIMA, MAASKOFU KUTINGA KWA IGP LEO KUMUOMBEA MSAMAHA
Maaskofu na wachungaji wa makanisa ya kipentekosti wakiingia ukumbini katika Hoteli ya Tamari iliyopo Mwenge tayari kwa kutoa tamko lao.
Katibu wa Maaskofu wa makanisa ya Kipentekosti Dk. Damas Mukassa akisoma tamko la maaskofu hao Dar es Salaam jana, kuhusu sakata la kukamatwa kwa Askofu wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima ambalo leo hii wanatarajia kwenda kumuona Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu kuzungumzia suala hilo. Kulia ni Askofu Dk.Mgullu Kilimba na Askofu Mwaviga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v6wcuBb1nvuAmbhIO1dDLue4dvl2pbADM*R7Oo5CfhWhDXT-He4bR-Urxue1rDJzfcEKBHY1SGq1vau0L8HMlURVwzpZYLf4/Ngwajima.jpg?width=650)
SAKATA LA GWAJIMA, MAASKOFU WAWASHANGAA POLISI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V6DO7O2Li-M/XtNkCs7Jp-I/AAAAAAALsGQ/bChG-4D2RycpZZyMhDa0UFbIA3JJJ-JUgCLcBGAsYHQ/s72-c/Sirro.jpg)
IGP SIRRO AWATAKA WANAOACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS KUFUATA SHERIA ZA NCHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-V6DO7O2Li-M/XtNkCs7Jp-I/AAAAAAALsGQ/bChG-4D2RycpZZyMhDa0UFbIA3JJJ-JUgCLcBGAsYHQ/s640/Sirro.jpg)
IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani Singida ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo na kuwataka kuendelea kushirikiana na wananchi katika mapambano dhidi ya uhalifu ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DS2MVavE1Y0/VRq3EMRvWGI/AAAAAAAAPg8/CJn969KZlmg/s72-c/1.jpg)
UPDATES: ASKOFU GWAJIMA APEWA DHAMANA LEO MCHANA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-DS2MVavE1Y0/VRq3EMRvWGI/AAAAAAAAPg8/CJn969KZlmg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FUj0h7bG1nU/VRq3D6s2JSI/AAAAAAAAPg4/tUORsVwSgPg/s1600/2.jpg)
BOFYA HAPA KWA...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Exclusive: Mahakama ya Kisutu yamwachia huru Askofu Gwajima na wachungaji wake watatu leo
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari cha modewjiblog zimeeleza kuwa Askofu Josephat Gwajima aliyejisalimisha Polisi Central na hatimaye kupelekwa Mahakama ya Kisutu wameachiwa huru kwa dhamana yeye pamoja na wachungaji wake watatu, jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Askofu Gwajima aliwataja Maaskofu hao kuwa ni Askofu Geofrey Andrew, Mchungaji George Mzava na Askofu Yeconia Bihagaze.
Hiyo ni kufuatia kushitakiwa kwa mashitaka mawili yanayowakabili likiwemo kumkashifu Askofu Pengo...
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DS2MVavE1Y0/VRq3EMRvWGI/AAAAAAAAPg8/CJn969KZlmg/s1600/1.jpg?width=650)
ASKOFU GWAJIMA ATOLEWA POLISI KWA DHAMANA
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/I4RR7dblioQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Q3-D8cZEiTI/VRVxPSQrLCI/AAAAAAAHNrE/pYCTosb7Chk/s72-c/unnamed.jpg)
ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-Q3-D8cZEiTI/VRVxPSQrLCI/AAAAAAAHNrE/pYCTosb7Chk/s1600/unnamed.jpg)
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...