SAKATA LA GWAJIMA, MAASKOFU WAWASHANGAA POLISI

Na Elvan Stambuli Maaskofu kadhaa wamelishangaa jeshi la polisi kwa jinsi lilivyoliendesha sakata la kashfa ya matusi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na kusema kwamba huenda kuna jambo nyuma ya pazia. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Wakizungumza na gazeti hili baadhi ya maaskofu hao walisema sakata hilo sasa limeingizwa kinyemela kwenye mlango mwingine usiojulikana ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSAKATA LA ASKOFU GWAJIMA, MAASKOFU KUTINGA KWA IGP LEO KUMUOMBEA MSAMAHA
10 years ago
Vijimambo
Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake

Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...
10 years ago
Habarileo17 Apr
DPP asubiriwa kuamua sakata la Gwajima
MAHOJIANO baina ya Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Jeshi la Polisi yaliyokuwa yaendelee jana jijini Dar es Salaam, yalishindwa kufanyika baada ya mawakili wa Gwajima kutaka kwanza wapewe waraka maalumu wa kutakiwa apeleke nyaraka walizomuagiza.
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Gwajima atakiwa kujisalimisha polisi
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Gwajima: Kikwete wakemee polisi
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Polisi 20 wazingira nyumba ya Gwajima
10 years ago
GPL
MCHUNGAJI GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Askofu Gwajima taabani polisi
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
HALI ya afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana.
Askofu Gwajima alifika kituoni hapo saa 2 asubuhi akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya watano.
Katika hali ya kushangaza, wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, alifanikiwa kupanda mbili, lakini alipojaribu ya...