Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DPP asubiriwa kuamua sakata la Gwajima

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MAHOJIANO baina ya Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na Jeshi la Polisi yaliyokuwa yaendelee jana jijini Dar es Salaam, yalishindwa kufanyika baada ya mawakili wa Gwajima kutaka kwanza wapewe waraka maalumu wa kutakiwa apeleke nyaraka walizomuagiza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KAULI YA DPP SAKATA LA KANGI LUGOLA NA WENZAKE

   Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga, amesema bado ofisi yake na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wanalifanyia kazi sakata la tuhuma za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.
Alisema taasisi hizo mbili zina utaratibu wa kufanyakazi na kwamba hakuna jambo la kificho, kila kitu kitakapokuwa tayari umma utafahamishwa kupitia vyombo vya habari.
Akizungumza na waandishi habari ofisini...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA GWAJIMA, MAASKOFU WAWASHANGAA POLISI

Na Elvan Stambuli
Maaskofu kadhaa wamelishangaa jeshi la polisi kwa jinsi lilivyoliendesha sakata la kashfa ya matusi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na kusema kwamba huenda kuna jambo nyuma ya pazia. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Wakizungumza na gazeti hili baadhi ya maaskofu hao walisema sakata hilo sasa limeingizwa kinyemela kwenye mlango mwingine usiojulikana ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sakata la Gwajima: Wafuasi wake 15 mbaroni kwa madai ya kutaka kumtorosha

kova1

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu.

Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona...

 

10 years ago

Michuzi

SAKATA LA ASKOFU GWAJIMA, MAASKOFU KUTINGA KWA IGP LEO KUMUOMBEA MSAMAHA

 Maaskofu na wachungaji wa makanisa ya kipentekosti wakiingia ukumbini katika Hoteli ya Tamari iliyopo Mwenge tayari kwa kutoa tamko lao.Katibu wa Maaskofu wa makanisa ya Kipentekosti Dk. Damas Mukassa akisoma tamko la maaskofu hao Dar es Salaam jana, kuhusu sakata la kukamatwa kwa Askofu wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima ambalo leo hii wanatarajia kwenda kumuona Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu kuzungumzia suala hilo. Kulia ni Askofu Dk.Mgullu Kilimba na Askofu Mwaviga...

 

10 years ago

Habarileo

Rais asubiriwa kutia saini watu kumi wanyongwe

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame SilimaUTEKELEZWAJI wa adhabu ya kifo kwa watu 10 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa, kutokana na kuhusika katika mauaji ya watu wenye ulemavu (albino), unasubiri saini ya Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

10 years ago

Vijimambo

Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake


Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...

 

11 years ago

BBCSwahili

WHO kuamua Ebola janga la dunia

Shirika la afya ulimwenguni wanakutana Geneva Uswis kuamua iwapo Ebola kuwa janga la barani Afrika na dharura ya dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua pingamizi la Uamsho

Hatima ya usikilizwaji wa maombi ya marejeo ya viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali la Jamhuri dhidi ya maombi hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani