RAIA WA KENYA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU SERIKALI NA TCRA
Na Mwene Said wa Globu ya Jamii, Mahakamani Mtu mmoja raia wa Kenya Nelson Onyango (43), mkazi wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakamani akikabiliwa na mashitaka saba ya udanganyifu, kutumia kadi zisizosajiliwa, kuingiza nchini na kutumia mitambo ya simu bila kibali, kutoa huduma ya mawasiliano ya kimataifa bila kibali cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisabishia serikali na mamlaka hiyo hasara ya Sh. Milioni 6.8. Onyango alisomewa mashitaka yake leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Mlebanoni kizimbani kwa kuhujumu uchumi
RAIA wa Lebanon, Mohamed Attwi (27), amepandiswa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.
Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...
11 years ago
MichuziRAIA WAWILI WA ROMANIA KOTINI KWA KUIHUJUMU TCRA
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani
WATU wawili raia wa Romania wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi ikiwemo udanganyifu,kutumia kadi zisizosajiliwa, kuingiza nchini na kutumia mitambo ya simu bila kibali, kutoa huduma ya mawasiliano ya kimataifa bila kibali cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisababishia hasara ya Sh. Bilioni 2.1 Mamlaya ya Mawasiano Tanzania (TCRA).
Washtakiwa hao ni, Meneja...
5 years ago
MichuziVigogo sita wa Halotel kizimbani kwa utakatishaji na kuisababishia TCRA hasara ya Sh. Bilioni 78.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Halotel Son Nguyen (46), na vigogo wengine watano wa Viettel Tanzania wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 10 yakiwemo ya kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), hasara ya zaidi ya Sh bilioni 78
Washtakiwa wengine ni Nguyen Minh (40) na Vu Tiep Mameneja wa Halotel, Ha Than (39) Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wa Halotel, Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni...
11 years ago
Michuzi07 Feb
News alert: watu 12 raia wa iran na pakistani kizimbani kwa kukutwa na 'sembe' kilo 200.5 bahari kuu
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Mtanzania anayetuhumiwa kwa ugaidi Kenya kizimbani
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kizimbani kwa kujifanya mtumishi wa serikali
MFANYABIASHARA Selemani Musa (46) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kwa tuhuma za kujifanya mtumishi wa Serikali. Karani Katherine Maduhu alidai mbele ya Hakimu Mwajuma Diwani kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 20, mwaka jana Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...