Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa

POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mbaroni kwa kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa


NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Kinyerezi, Dar es Salaam, Saimon Meena, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo ya Meena (40), ililenga kumwezesha kufanya utapeli ili kujipatia sh. milioni 25 kutoka kwa mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Somalia.
Meena, maarufu kwa jina la Gunner, anadaiwa kuwatisha baadhi ya wafanyabiashara jijini Dar es Saalam kuwa wanahusika na matukio ya kigaidi hivyo kuhatarisha usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamishna wa...

 

11 years ago

Michuzi

ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA

Kijana aliyetambulika kwa jina la Musa Mbeko(24) anayedaiwa kuwa ni mwandishi wa habari mkoani Tabora akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi mkoani humo baada ya kujifanya kuwa ni afisa kutoka idara ya usalama wa taifa (TISS).kijana huyo inadaiwa aliwahi kufanya kazi kituo cha radio cha Voice of Tabora (VOT) kinachomilikiwa na mbunge wa Jimbo la Tabora mjini,Ismail Rage,hata hivyo Uongozi wa VOT umekana kijana huyo kuwa ni mwandishi wao na kwamba ulikwisha mfukuza kutokana na makosa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kujifanya ofisa usalama

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaMKAZI wa jijini Dar es Salaam, Gunner Meena (40), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa.

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutapeli gari

MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-

OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...

 

11 years ago

Habarileo

Anadaiwa kutapeli mil.40/- jela miaka 3

MKAZI wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Asha Mbaraka (54) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kujipatia Sh milioni 40 kwa njia ya udanganyifu, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela bila kuwepo mahakamani.

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TBL yatumia mil. 80/- wiki ya nenda kwa usalama barabarani

 KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imetumia sh milioni 80 kufanikisha shughuli mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani nchini. Hayo yalisemwa na Ofisa Uhusiano wa TBL,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani