Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atuhumiwa kutapeli gari

MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa

POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa


Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli

MFANYABIASHARA , Hassan Kombo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Karani Hatanao Kitogo alidai mbele ya Hakimu Christine Luguru, Machi 9 mwaka huu huko Zanzibar, Kombo alikabidhiwa mafuta ya chakula dumu 100 ayalete Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

SNURA ATUMIKA KUTAPELI

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu. Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea  ambapo hivi karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba...

 

10 years ago

GPL

BAKHRESA ATUMIKA KUTAPELI...

Na Makongoro Oging’/Uwazi
MFANYABIASHARA tajiri Afrika Mashariki na Kati, Said Salum Bakhresa (pichani), jina lake limetumika katika utapeli jijini Dar baada ya watu waliodai ni wafanyakazi wake kumrubuni mkazi wa Kariakoo, Mussa Mohammed kuvunja fremu yenye duka lake ili kupisha ujenzi wa maegesho ya magari, Uwazi limedokezwa. Mfanyabiashara tajiri Afrika Mashariki na Kati, Said Salum Bakhresa. Akizungumza na gazeti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...

 

11 years ago

Habarileo

Katibu wa CCM adaiwa kutapeli

KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rorya, Rojar Akuku anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujipatia Sh milioni 11 kwa udanganyifu.

 

11 years ago

GPL

MAFUFU ADAIWA KUTAPELI LAKI MOJA

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amekanyaga skendo ya utapeli baada ya msanii chipukizi aliyefahamika kwa jina la  Msanii wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu. kumpatia kiasi cha shilingi laki moja ili amfanyie mpango wa kujiunga Bongo Movie lakini akaingia mitini. “Kujiunga na Bongo Movie ni shilingi laki moja ambayo nilimkabidhi na fomu ya kujiunga akanipa nikajaza, cha ajabu mpaka sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani