Kijana Suleiman Othuman wa Zanzibar anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Pichani kiijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja wodi ya chini upande wa dirisha la dawa kitanda no 12.
Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu.Walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMeCKQoeUZ-rkUI95vGLv2MO5SysvDWN8L-dy6cvHl5peM7Tq8z9qRaLq7UdC6uh3iIMEkPc4d4XVQG096QRH-U/hos1.jpg?width=650)
KIJANA SULEIMAN OTHUMAN KUTOKA ZANZIBAR ANAOMBA MSAADA WENU
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s1600/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1tL64dO6Rv8/VHJcyZdJJcI/AAAAAAAAPh4/PnWtPlsdBBA/s1600/10815677_10154825415795247_2063630105_n.jpg)
9 years ago
StarTV01 Oct
Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59
Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.
Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.
Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.
Baba huyu mwenye familia ya watoto sita amekuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s72-c/New%2BPicture.png)
OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s640/New%2BPicture.png)
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.
Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...
11 years ago
GPLMZEE ALIYEPOOZA ANAOMBA MSAADA KWA AJILI YA TIBA
11 years ago
MichuziBINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu
Sophia Abdul (14)
Na Amon Mtega – Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...
10 years ago
MichuziFamilia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uDECdtWnIpc/VOQpHZ3OPzI/AAAAAAAAHlE/lheEguAGsxo/s72-c/MTOTO%2BSOPHIA%2BABDUL.jpg)
MTOTO SOPHIA ABDUL ANAOMBA MSAADA WAKO ILI AWEZE KUPATA MATIBABU
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamalia wema.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uDECdtWnIpc/VOQpHZ3OPzI/AAAAAAAAHlE/lheEguAGsxo/s1600/MTOTO%2BSOPHIA%2BABDUL.jpg)
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni alisema kuwa mwanae...