KIJANA SULEIMAN OTHUMAN KUTOKA ZANZIBAR ANAOMBA MSAADA WENU
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycMeCKQoeUZ-rkUI95vGLv2MO5SysvDWN8L-dy6cvHl5peM7Tq8z9qRaLq7UdC6uh3iIMEkPc4d4XVQG096QRH-U/hos1.jpg?width=650)
Pichani kijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja. Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu, walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Kijana Suleiman Othuman wa Zanzibar anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s1600/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1tL64dO6Rv8/VHJcyZdJJcI/AAAAAAAAPh4/PnWtPlsdBBA/s1600/10815677_10154825415795247_2063630105_n.jpg)
Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu.Walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s1600/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1tL64dO6Rv8/VHJcyZdJJcI/AAAAAAAAPh4/PnWtPlsdBBA/s1600/10815677_10154825415795247_2063630105_n.jpg)
9 years ago
StarTV01 Oct
Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59
Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.
Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.
Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.
Baba huyu mwenye familia ya watoto sita amekuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s72-c/New%2BPicture.png)
OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Aax03I0kAOY/VZT_e8x6zQI/AAAAAAAC8F8/jCqsa47q8Gw/s640/New%2BPicture.png)
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.
Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...
11 years ago
GPLMZEE ALIYEPOOZA ANAOMBA MSAADA KWA AJILI YA TIBA
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu
Sophia Abdul (14)
Na Amon Mtega – Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...
11 years ago
MichuziBINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
5 years ago
CCM BlogZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi...