Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADHI YA WANA HARAKATI WA DODOMA WAKIMJULIA HALI MWANAFUNZI WA UDOM ALIYEVUNJIKA MGUU

Mr Dannis akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahiliKijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIJANA ALIYEVUNJIKA MGUU KATIKA VURUGU ZA UDOM APATIWA MSAADA

Kijana Iddy (mwanafunzi wa UDOM), aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa UDOM juzi. Mguu wa kulia wa kijana Iddy ukiwa umevunjika. KIJANA Iddy ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliofanywa na wanafunzi wa UDOM Kitivo cha Sayansi ya Jamii juzi amepatiwa msaada… ...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM ajitupa ghrofani

MWANAFUNZI Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM), Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Kamugisha Isack anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutaka kujiua.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM ajaribu kujiua

MWANAFUNZI Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM), Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Kamugisha Isack anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutaka kujiua.

 

5 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI ALIYEKATWA MGUU AOMBA MSAADA WA MASOMO


NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba ya wilayani Muleba, Aristidia John, amepata msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (Wheerchair).

Baiskeli hiyo iliyotolewa na taasisi ya The Desk & Chair Foundation ili kumrahisishia usafiri ilikabidhiwa jana kwa mtoto huyo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) .

Aristidia ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba wilayani Muleba, alifanyiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM jela miaka sita

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkiad Kabunduguru (28) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

11 years ago

Mwananchi

Makahaba Dodoma wanavyokitumia Udom kujinadi

>Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi  za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.

 

10 years ago

Michuzi

Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini

 Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma SACP David Misime---Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini  tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30 (kumi na moja alfajiri).        Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime  ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Picha inavyoweza wasilisha hali ya njaa kwa baadhi ya watu

Onyesho la picha kuhusu hali ya utapiamlo huko Afrika ya Kati, Sudani Kusini na Liberia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani