WASANII BONGO HAWAJUI MAANA YA BIFU- BABY
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqqOuoP6Mfga4aDY8nbw3wKDhQ6bLYBz1zOtuBfo2u2VPKqRC*iDZfNLBRdACR-LgWmYiykEha82Wm7LX-kzSdAR/babay.jpg?width=650)
Stori: Erick Evarist MKALI wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ amefunguka kuwa wasanii wengi wa Kibongo hawaelewi maana ya bifu na faida zake. MkaliI wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’. Baby alisema wasanii wanapaswa kuiga mifano ya wasanii wa nje, wanaotumia bifu kuongeza mkwanja na umaarufu pia. “Hapa wanaendekeza majungu, wenzetu wakikosoana kimuziki,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JQbgrkxt9ufHKyl0PgNIFMinnGoFvJzvwmKRTt06KUVyWxvrIfjAvqTvt5RxKoCS-NvE2aXnLCdD0ibE2paQOxvs4iaqbBmw/IMG_9403.jpg?width=650)
BABY MADAHA: ACHENI BIFU ZA KISIASA
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Vanessa Mdee: Wasanii hawajui namna ya kupata fedha mtandaoni
Na Festo Polea
WAKATI wimbo wa ‘Hawajui’ wa msanii, Vanessa Hau Mdee ‘Vee Money’, ukiongoza katika chati za ubora za vituo mbalimbali vya redio na runinga za nchini Nigeria, msanii huyo amesema wasanii wengi hawajui namna ya kutumia mitandao ya kijamii kuuza kazi zao.
Vanessa alieleza hayo jana alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, Rai na The African, akiwa katika harakati za kutangaza wimbo wake mpya wa ‘No body but Me’...
10 years ago
Mwananchi18 Apr
Mastaa 10 wenye mijengo ya maana Bongo
10 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...
10 years ago
Bongo Movies10 Feb
Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva
Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao
“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni mbali hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...
9 years ago
Bongo524 Dec
Baby J aitaja sababu inayowakwamisha wasanii wa kike kutoboa
![Baby J](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Baby-J-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Baby J amezitaja sababu zinazowakwamisha wasanii wengi wa kike kushindwa kufikia malengo yao.
Muimbaji huo aliye chini ya uongozi wa Mkubwa na Wanawe wa Said Fella, ameiambia Bongo5 kuwa moja ya sababu kubwa inayowafelisha wasanii wengi wa kike ni mfumo wa muziki wa zamani ambao ulitawaliwa na wanaume wengi.
“Kuna kitu ambacho mimi sasa hivi sitaki kukiangalia, nilikuwa nakiangalia zamani kwenye muziki. Watu wanaowasaidia wasanii ni wanaume pekee, hakuna meneja mwanamke...
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Baby Madaha Kuikacha Bongo Fleva kwa Muda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Baby Madaha ameamua kwasasa kijikita kwenye uigizaji zaidi kusimama kwa muda kufanya muziki kutokana na changamoto nyingi ambazo zinahitaji uvumilivu.
Baby Madaha alieleza kuwa moja ya changamoto za muziki, na hasa unapokuwa chini ya "manejimenti' ya kampuni ni kukosa uhuru wa maamuzi
Nipashe