Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU ALIPOKUWA AKIINGIA VIWANJA VYA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika mashine maalum ya kunyunyuzia yenye  dawa  ya kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati alipoingia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Aprili 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKIWAHI BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasili Bungeni Dodoma leo Mei 8/2020 kuhudhuria kikao cha Bunge la Bajeti linaloendelea  na mjadala wa Wizara ya Nishati.(Picha na PMO).

 

5 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU KASSIM MALIWA WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 19 WA BUNGE JIJINI DODOMA LEO.


HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KUMI NA TISA WA BUNGE

1.           MheshimiwaSpika, naomba nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujaalia afya njema na kutuwezesha kufika siku hii ya leo ambayo naiita kuwa ni siku ya kihistoria kwetu.
2.           Nasema kuwa ni ya kihistoria kwa sababu Bunge lako Tukufu linahitimisha shughuli za Bunge la Kumi na Moja (11) la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kutoka katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo

IMGL8202

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGL8225

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Bungeni mjini Dodoma.

IMGL8237

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge Azan Zungu Bungeni mjini Dodoma.

IMGL8219

Waziri  wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akiwasilisha makadirio ya Matumizi...

 

9 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA KUAPISHWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO VIWANJA VYA IKULU NDOGO CHAMWINO MJINI DODOMA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.Rais Dkt. John Pombe Magufuli, akimkabidhi nyaraka za Serikali baada ya kumwapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Ikulu ndogo Chamwino mjini Dodoma.Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA  kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani