AUNTY LULU ALIA KUTENDWA
![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg89U94SSbTLnHr6fc1u*wuMoc0KoyVYn59KeDdMPTeHABAkgmBfx*f67W9kEKHoYlvSCDal6CddlqU7n5P2jcFw/lulu.jpg)
Stori: Hamida Hassan MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa ametendwa vya kutosha na marafiki hivyo kwa sasa hahitaji tena kuwa na rafiki. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema kwa nyakati tofauti marafiki wamemponza akaachika kwenye uhusiano wa wapenzi wake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V0EnpUkUMSX90SstcC7p39vVr0kH5Z6ZASJk9v*LvSTFPbVTI3efQqnwsNdkjfpNOPIRM7O*7TjiSJJFjOOHSWR5uE3rAt7r/FRONTJUMAMOSI70.gif?width=650)
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Bondi, Aunty Lulu Wapashana
Mastaa wa Bongo Movies na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6arjMUpHESU7X9gpp9wnNZImGDrFUbOEs-YJbomTzL5-PmallHqHurvKXsgvylXaw91GMvIU1xlnNfnKmnBURbF/gf.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NIMEKAMATIKA KIMAPENZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfsG8ArHAUlRWuVdSAnM6mCFMX6c0*IyPl91JGqZLuukPuKpaL7edfzNKC4sa5YuF-cgirSSQlgj*zNDq-kjmyc/wastaralulu.jpg)
AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SPs2IsiC3PK5dk0PN1DUUbERqne81EHmMc2hCgGnEuRZ57hrxwbdsGkaI-D-04ffhjR5lZ88fS40D3HoJB*8Euj-AHnKF0Y1/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YvVcZCTfMENVmKX0Aldso14kWaLdo8NuIWdt3wl0uzsrgPjd*HxtEkl6Lnk9ebrCQCie7In2s95EMlCNW5fJDoC/lulu.jpg?width=650)
AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MCtjzthy82mut*Onc36FQOlq*Ppkpy6D68ppgDzaxAN*5HCRg*DcZ24sFYRrHPHbqX4pjfSWLYllZalvPW9SHXL/timthumb.php.jpg?width=650)
AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3R-hkVA5bIuhDO31jD6nw0YnjRTxyAkBg6Q17mP7a63WoBsYTzGI8E*7vuUA1MQ5rTX6eBVRUDRhzPxH4MACxXD/aunt.jpg?width=650)
KIPIGO CHACHOROPOA MIMBA YA AUNTY LULU
10 years ago
Bongo Movies09 May
Aunty Lulu: Makalio Yananikosesha Amani!
Staa mrembo wa Bongo Movies Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Ameliambia gazeti la Risasi kuwa wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi...