Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIPIGO CHACHOROPOA MIMBA YA AUNTY LULU

Na Gladness Mallya
ILE mimba ya miezi mitano aliyokuwa nayo staa wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ imechoropoka kufuatia kipigo alichopewa na mpenzi wake. Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’. Sosi wa karibu na mwigizaji huyo, amenyetisha habari kuwa, mwanaume huyo (jina kapuni) aliyedaiwa kuwa ndiye mwenye ujauzito huo ambaye maskani yake ni Kinondoni, jijini Dar, alimshushia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AUNTY LULU KIPIGO CHAMTULIZA

Na Gladness Mallya
LULU Semagongo aliye mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, amedaiwa kupewa kipigo cha haja na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina moja la Amani hivyo kujificha nyumbani akijiuguza majeraha aliyopata. Aunty Lulu. Habari kutoka chanzo cha kuaminika, zinasema kuwa Lulu alipewa kubwa na mpenzi wake huyo mpya kutokana na tabia zake ambazo pia hazikuelezwa. “Nakuambia haonekani sehemu yoyote siku hizi. Boyfriend...

 

10 years ago

GPL

AUNTY: MIMBA HAIJANIBADILI TABIA

Na Laurent Samatta/Uwazi 
HUKU kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na wala hajabadilika. Msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’. Akimwaga ‘ubuyu’ na Uwazi, Aunty alisema kuwa haoni kama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mimba ya Aunty Ezekiel Utata Mtupu!

Mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunt Ezekiel  amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho

Kwa mujibu wa mtu wa karibu na mwigizaji huyo, amethibitisha kwamba  ni kweli ujauzito wa Aunty sio wa mume wake ni wa dansa wa Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moses Iyobo.

“Ni kweli ujauzito wa Aunty ni wa mpenzi wake na si mumewe. Unajua anatoka na Iyobo na wawili hao bado wanaonekana pamoja, hafanyi tena safari za...

 

10 years ago

CloudsFM

Nyalandu: mimba ya Aunty Ezekiel siyo yangu

Waziri wa maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu amefunguka kuhusiana na taarifa zilizoenea kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel na kwamba ujauzito alionao msanii huyo ni wa kwake.Mh.Nyalandu amekanusha habari hizo kupitia kupindi cha leo tena cha Clouds Fm wakati alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa kipindi hicho Husna Abdul ambapo pia alikuwa ameambatana na mkewe Faraja Kota.Aidha alisema kuwa habari hizo zilitolewa na gazeti moja la hapa nchini...

 

10 years ago

GPL

VIVA ATAMBA MIMBA YAKE KUWA KAMA YA AUNTY

Musa Mateja/Uwazi   
MSANII wa filamu Bongo, Viva ametamba kwamba mimba aliyokuwa nayo ni ya miezi sawa kama ya msanii mwenzake wa filamu, Aunty Ezekiel. Msanii wa filamu Bongo, Viva akiwa na Aunt Ezekiel. Akizungumza na safu hii akiwa katika tamasha moja lililofanyika katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni, jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Viva akiwa ameongozana na Aunty huku muda mwingi wakionekana...

 

10 years ago

Bongo Movies

Iyobo: Mimba ya Mpenzi Wangu Aunty ni Faraja Kwangu

Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa filamu, Aunty  Ezekiel.

Akizungumzia ujauzito wa mpenzi wake,  Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa hakuna kitu ambacho anaona fahari kama hicho.

“ Mimi tu nikiwaza mtu ambaye...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni alijikuta akichezea kichapo kutoka kwa mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Amani baada ya kutaka kwenda klabu usiku bila kumtaarifu. Msanii wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipozi. Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo walimsikia msanii huyo akipiga mayowe na walipotoka walimuona...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan My confession! (kukiri kwangu)! Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa, Risasi Jumamosi lina ‘exclusive story’. Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bondi, Aunty Lulu Wapashana

Mastaa wa Bongo Movies  na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.

Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.

Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani