VIVA ATAMBA MIMBA YAKE KUWA KAMA YA AUNTY
![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jIDSUhVQZyQ90t4w9j2Mp5MPcQzTuNjIjyuUkejHAnd0yLRh5qME37RxRVegBoAahX0OYtEDKzeW8wOH07tU5lv/viva.jpg)
Musa Mateja/Uwazi   MSANII wa filamu Bongo, Viva ametamba kwamba mimba aliyokuwa nayo ni ya miezi sawa kama ya msanii mwenzake wa filamu, Aunty Ezekiel. Msanii wa filamu Bongo, Viva akiwa na Aunt Ezekiel. Akizungumza na safu hii akiwa katika tamasha moja lililofanyika katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni, jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Viva akiwa ameongozana na Aunty huku muda mwingi wakionekana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Jun
Mchumba wa Chilole, Nuh Mziwanda Amkana Msichana Aliyedai Kuwa na Mimba Yake
Mchumba wa Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Nuh Mziwanda amefunguka baada ya msichana Rose John kudai kuwa ana ujauzito wa miezi miwili wa msanii huyo.
Msichana huyo alizungumza jana kupitia Uheard na Soud Brown ambapo alisema kuwa amekuwa na uhusiano na Nuh kwa miaka miwili lakini walitengana baada ya kusikia ana uhusiano na msanii Shilole na kwamba amechora tatuu ya jina lake.
Niliachana naye baada ya kusikia na uhusiano na Shilole na pia amechora tatuu ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jIbSVNYRVv21yuW7krFTe6*6yBYHQxlWhrnmW6CmbtTgPmqstfhZhp2f8ZudhaKulKIm04d1PDv73qRObjk3HyS/aunty.jpg)
AUNTY: MIMBA HAIJANIBADILI TABIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3R-hkVA5bIuhDO31jD6nw0YnjRTxyAkBg6Q17mP7a63WoBsYTzGI8E*7vuUA1MQ5rTX6eBVRUDRhzPxH4MACxXD/aunt.jpg?width=650)
KIPIGO CHACHOROPOA MIMBA YA AUNTY LULU
10 years ago
Bongo Movies02 Jan
Mimba ya Aunty Ezekiel Utata Mtupu!
Mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho
Kwa mujibu wa mtu wa karibu na mwigizaji huyo, amethibitisha kwamba ni kweli ujauzito wa Aunty sio wa mume wake ni wa dansa wa Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moses Iyobo.
“Ni kweli ujauzito wa Aunty ni wa mpenzi wake na si mumewe. Unajua anatoka na Iyobo na wawili hao bado wanaonekana pamoja, hafanyi tena safari za...
10 years ago
CloudsFM13 Feb
Nyalandu: mimba ya Aunty Ezekiel siyo yangu
Waziri wa maliasili na utalii Mh. Lazaro Nyarandu amefunguka kuhusiana na taarifa zilizoenea kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu za Kibongo,Aunty Ezekiel na kwamba ujauzito alionao msanii huyo ni wa kwake.
Mh.Nyalandu amekanusha habari hizo kupitia kupindi cha leo tena cha Clouds Fm wakati alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa kipindi hicho Husna Abdul ambapo pia alikuwa ameambatana na mkewe Faraja Kota.
Aidha alisema kuwa habari hizo zilitolewa na gazeti moja la hapa nchini...
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Iyobo: Mimba ya Mpenzi Wangu Aunty ni Faraja Kwangu
Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel.
Akizungumzia ujauzito wa mpenzi wake, Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa hakuna kitu ambacho anaona fahari kama hicho.
“ Mimi tu nikiwaza mtu ambaye...
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Wakati Nyalandu Anakanusha Kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel, Iyobo Nae Ana Haya..…
Baada ya hapo jana Waziri Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti na mitandaoni za kuwa anachepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunty Ezekiel na kusisitiza kuwa yeye sio muhusika wa ujauzito wa mwigizaji huyo, nikaamua kupitapita kwenye kurasa za mcheza shoo wa Diamond, Moses Iyobo ambae ndio anasemekana kuwa yeye ndio amempa ujauziko mwigizaji huyo.
Kwanza nilikutana na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo, ambae alikuwa ameweka...
10 years ago
Bongo Movies14 May
‘The Hard Way’ Aunty Akiwa Kama Ofisa Usalama wa Taifa
Hard way ni filamu inamhusu kijana Harrison King ambaye ameishi na kulelewa na mzazi mmoja tu ambaye ni Mama, pamoja na yote Harrison ni mtaalamu wa kompyuta. Anafuatwa na kundi la uhalifu linalojulikana kama...
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma