Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Mtetemela awatuliza wananchi

Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amewahakikishia Watanzania kuwa Katiba itapatikana kwa wakati.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Askofu Mtetemela atuliza Bunge

WAKATI dua inayosomwa kabla na baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba inaonekana kutowaingia ipasavyo wajumbe na kujikuta wakitumia muda mwingi kwa malumbano na matumizi ya lugha mbaya, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana, Donard Mtetemela juzi jioni alifanikiwa kulituliza Bunge hilo kwa mawaidha aliyoyatoa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu Mtetemela alaani kauli ya Lipumba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela, amelaani kauli iliyotolewa na mjumbe mwenzake, Profesa Ibrahim Lipumba ya kulifananisha bunge hilo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu wa Geita atahadharisha wananchi

Wananchi wametahadharishwa kuwa macho na vyama vya kisiasa na makundi yanayoibuka ndani ya Bunge la Katiba kwa lengo la kupindisha maoni yaliyotolewa na wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Wananchi wataamua muundo wa serikali

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya kuchagua muundo wa serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi waandaliwe kisaikolojia kupokea matokeo-Askofu

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini, Isaya Mengele ameitaka Serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wawe tayari kupokea matokeo ya uchaguzi wasiyotarajia.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

 

9 years ago

Mtanzania

Bocco awatuliza mashabiki Azam

John-Bocco-1-e1438774780905ADAM MKWEPU NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, John Bocco amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasubiri ushindi wa kishindo watakapocheza na Majimaji keshokutwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.

Azam ilipata matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita na kufikisha pointi 26 zilizoifanya ishuke hadi nafasi ya pili na kuwapa wapinzani wao Yanga nafasi ya kurudi kileleni kwa kujikusanyia pointi 27.

Akizungumza na MTANZANIA jana nyota huyo...

 

11 years ago

TheCitizen

Msigwa lashes out at Bishop Mtetemela

A member of the Coalition of Defenders of the People’s Constitution, Ukawa, the Reverend Peter Msigwa, has faulted Archbishop Bishop Donald Mtetemela “for looking at only one side of the coin.”

 

10 years ago

Mtanzania

Zari awatuliza wabaya wake

ZARINA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPENZI wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul ‘Dimond’, Zarinah Hassab ‘Zari The Boss Lady’, amewakata mdomo waliokuwa wakimbeza kuwa hana ujauzito kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha ‘kitumbo’ chake.
Watu mbalimbali walikuwa wakionyesha kutokuamini ujauzito wa mrembo huyo, huku wengine wakidai kuwa ni ya kutengeneza.
Msanii huyo wa Uganda, Zari, ambaye amekuwa kimya, juzi aliamua kuweka picha zake mbili kwenye mtandao wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani