Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu: Wananchi wataamua muundo wa serikali

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya kuchagua muundo wa serikali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA LATIKISA UWANJA WA TAIFA, MEMBE ASEMA WANANCHI WATAAMUA SERIKALI IPI WANAITAKA

 Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana.  Kulia  kwake ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na katikati ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Angela Kairuki. Akizungumza na mamia ya mashabiki waliojitokeza katika tamasha hilo Mhe Membe amewaomba Watanzania kuwa watulivu wakati huu wa mchakato wa...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LATIKISA UWANJA WA TAIFA, MEMBE ASEMA WANANCHI WATAAMUA SERIKALI IPI WANAITAKA‏

 Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la Pasaka lililofanyika jana kwenye u8wanja wa Taifa akizungumza na mashabiki mbalimbali waliojitokeza katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa watulivu wakati huu wa mchakato wa katiba mpya akisema uamuzi mtautoa nyini ni serikali gani mnaiihitaji iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo mtaamua na sisi...

 

11 years ago

GPL

KINACHOSUMBUA SI MUUNDO WA SERIKALI BALI AINA GANI YA MUUNDO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo na kunifanya niweze kuyaandika haya niliyoyakusudia.
Mada kuu kila kona hivi sasa hapa nchini ni muundo gani wa serikali utafaa kufuatwa na nchi yetu.
Hakika kitu kinachosumbua vichwa vya wengi siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru muungano huu uliodumu kwa miaka 50. Wapo watu wanaotaka iwepo serikali moja japokuwa hili nina uhakika kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

 

11 years ago

Mwananchi

Msomi ashauri muundo wa serikali mbili ulioboreshwa

>Profesa Robert Msanga wa Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (Muccobs) amependekeza muundo wa Muungano wa serikali mbili uendee kutumika isipokuwa uboreshwe.

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe afichua ya Pemba kuhusu muundo wa serikali

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Asha Mohammed Omar amesema wananchi wa Pemba, visiwani Zanzibar walitaka serikali mbili na ‘kaserikali kadogo ka nkataba’.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa APPT Maendeleo, Peter Mziray, ameshauri kuwe na mjadala mkali na wenye hisia kali kuhusu muundo wa Serikali ya Jamhuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani