Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Uingereza ashauri Katiba ya wananchi

Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose amesema nchi yake inafuatilia kwa karibu mchakato wa Katiba Mpya ikiamini kwamba Serikali itahakikisha inasimamia upatikanaji wa Katiba hiyo kwa masilahi ya wananchi walio wengi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Wananchi wataamua muundo wa serikali

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya kuchagua muundo wa serikali...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba

>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.

 

9 years ago

Habarileo

Askofu ashauri watu kuachana na talaka

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Telesphor Mkude amewataka wanandoa kuachana na jambo la talaka kwa kuwa limekuwa likiathiri maisha ya familia hasa ustawi wa watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Utaratibu huu wa kupitisha Katiba haufai

Marekebisho yaliyofanywa juzi na Bunge la Katiba kwenye baadhi ya kanuni zake ili kuruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya Bunge wapige kura za kuamua sura au ibara za Rasimu ya Katiba umelalamikiwa na wananchi wengi.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba: Msikurupuke kupitisha Katiba Mpya

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewataka Watanzania kutokurupuka kuipitisha Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa imeyaacha kando maoni yao mengi na akawataka waisome kwa makini kabla ya kuikubali au kuikataa.

 

11 years ago

Habarileo

'Katiba isipotambua Serikali za Mitaa tutawaeleza wananchi'

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) imetaka Serikali za Mitaa zitambulike ndani ya Katiba Mpya, vinginevyo watawaeleza wananchi jinsi haki zao zinavyoporwa ndani ya Katiba hiyo.

 

11 years ago

GPL

KUPITISHA RASIMU YA KATIBA BILA UKAWA KUNA MADHARA YAKE

Mwandishi Eric Shigongo WIKI ijayo siku kama ya leo Jumanne, Bunge Maalum la Katiba linatarajiwa kuketi mjini Dodoma kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba kukiwa na wasiwasi kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawataingia kikaoni. Ninachosema ni kwamba Ukawa kukataa kurejea katika vikao vya Bunge hilo kwa kushikilia msimamo wa kutaka ijadiliwe Rasimu ya Katiba ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Sinde...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani