Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Uingereza ashauri Katiba ya wananchi

Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose amesema nchi yake inafuatilia kwa karibu mchakato wa Katiba Mpya ikiamini kwamba Serikali itahakikisha inasimamia upatikanaji wa Katiba hiyo kwa masilahi ya wananchi walio wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askofu Munga ashauri Serikali kupitisha Katiba wanayotaka wananchi

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga ameshauri Serikali kupitisha Katiba ambayo itatenda haki kwa Watanzania kwa kuzingatia kanuni na hekima, badala ya kuingiza matakwa ya kila mtu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif ashauri kamati za misikiti nchini

967

Balozi Seif akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Kiboje Mamboleo mara baada kuufungua msikiti wao wa Ijumaa uliofanyiwa matengenezo makubwa.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

Mwandishi Wetu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amezikumbusha Kamati za Misikiti hapa  nchini kuendelea kuwa imara kwa kutowaruhusu watu wanaopenda kujipenyeza ndani ya kamati hizo kwa nia ya kuanza kutoa madarasa ya uchochezi na kuwagawa waumini kimadhehebu. Alisema...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi ashauri mitaala kubeba hatma ya nchi

BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman ShimboBALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo ameshauri mitaala ya elimu iingize masuala yanayowaunganisha Watanzania ili kuvisaidia vizazi vya sasa na vijavyo kuilinda nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Balozi ashauri sekta binafsi Malawi, Tanzania kukutana

Mwenyekiti wa PSPF, Reginald Mengi.BALOZI wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe ameiomba Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (PSPF) kukutana na wenzao wa Malawi ili waweze kujenga uhusiano ambao utasaidia wafanyabiashara wa nchi hizo mbili kufanya biashara pamoja.

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri kuundwa chombo kusimamia Katiba

MJUMBE wa Kamati ya Afrika ya Wataalamu wa Haki na Ustawi wa Mtoto Dk Clement Mashamba ameshauri kuundwa kwa chombo maalum cha kusimamia utekelezaji wa Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri wajumbe Bunge la Katiba kupigania vijana

WAJUMBE watakaopata nafasi ya kuingia katika Bunge la Katiba, wameshauriwa kuhakikisha wanapigania masuala ya vijana . Mwenyekiti wa Taasisi ya Vijana nchini (TYVA), Elly Ahimidiwe alidai katika rasimu ya Katiba mpya, kijana hajafafanuliwa kwa mapana zaidi, hali inayoonesha kundi hilo limetengwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kikunge awafunda wajumbe #Bunge la #Katiba, ashauri ubinafsi uwekwe kando [VIDEO]

Wakati Bunge Maalum la Katiba likijiandaa kuanza kazi rasmi wiki ijayo, baadhi ya wajumbe wameasa siasa za umimi na chuki binafsi ziwekwe kando.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.2Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani