Balozi ashauri mitaala kubeba hatma ya nchi
BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo ameshauri mitaala ya elimu iingize masuala yanayowaunganisha Watanzania ili kuvisaidia vizazi vya sasa na vijavyo kuilinda nchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Dec
DC ashauri matrekta madogo yasiwe ya kubeba mizigo
WAKULIMA wilayani Bariadi mkoani Simiyu wameonywa kuacha kubadilisha matumizi sahihi ya matrekta madogo ya kilimo (Power Tillers), kwa kubebea mizigo kwenye minada pamoja na kwenye magulio sanjari na kubebea abiria.
11 years ago
Habarileo19 Apr
Balozi aelezwa nia ya kuanzisha mitaala ya ufugaji nyuki
CHUO cha Kilimo Mubondo wilaya ya Kasulu, Kigoma kinatarajia kuanzisha mitaala ya masomo ya ufugaji nyuki kwa wanafunzi wa chuo hicho.
10 years ago
Habarileo23 Jan
Balozi Seif asisitiza mitaala bora ya ustadi wa kazi
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema nchi itaweza kukabiliana na changamoto ya ajira kwa kuhakikisha vyuo vyote nchini vinakuwa na mitaala inayoelekeza kufundisha umahiri na ustadi wa kazi.
11 years ago
Mwananchi07 May
Balozi Uingereza ashauri Katiba ya wananchi
11 years ago
Dewji Blog28 Jun
Balozi Seif ashauri kamati za misikiti nchini
Balozi Seif akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Kiboje Mamboleo mara baada kuufungua msikiti wao wa Ijumaa uliofanyiwa matengenezo makubwa.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).
Mwandishi Wetu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amezikumbusha Kamati za Misikiti hapa nchini kuendelea kuwa imara kwa kutowaruhusu watu wanaopenda kujipenyeza ndani ya kamati hizo kwa nia ya kuanza kutoa madarasa ya uchochezi na kuwagawa waumini kimadhehebu. Alisema...
10 years ago
Habarileo28 Sep
'Wabunge ifikirieni nchi yenu na hatma yake'
MJADALA wa wazi wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, umehitimishwa jana kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, kuruhusu wajumbe wazee watoe neno la maridhiano.
10 years ago
Habarileo17 Apr
Balozi ashauri sekta binafsi Malawi, Tanzania kukutana
BALOZI wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe ameiomba Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (PSPF) kukutana na wenzao wa Malawi ili waweze kujenga uhusiano ambao utasaidia wafanyabiashara wa nchi hizo mbili kufanya biashara pamoja.
9 years ago
Mwananchi08 Nov
MODESTA MBUGHUNI : Hatma ya maendeleo ya nchi yetu ipo mikononi mwetu wanawake
10 years ago
MichuziBalozi Mushy akutana na Wawakilishi wa Nchi za G4 nchini Tanzania