Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINACHOSUMBUA SI MUUNDO WA SERIKALI BALI AINA GANI YA MUUNDO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo na kunifanya niweze kuyaandika haya niliyoyakusudia.
Mada kuu kila kona hivi sasa hapa nchini ni muundo gani wa serikali utafaa kufuatwa na nchi yetu.
Hakika kitu kinachosumbua vichwa vya wengi siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru muungano huu uliodumu kwa miaka 50. Wapo watu wanaotaka iwepo serikali moja japokuwa hili nina uhakika kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Wananchi wataamua muundo wa serikali

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutambua kuwa maamuzi ya mwisho ya kuchagua muundo wa serikali...

 

11 years ago

Habarileo

Mjumbe afichua ya Pemba kuhusu muundo wa serikali

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Asha Mohammed Omar amesema wananchi wa Pemba, visiwani Zanzibar walitaka serikali mbili na ‘kaserikali kadogo ka nkataba’.

 

11 years ago

Mwananchi

Msomi ashauri muundo wa serikali mbili ulioboreshwa

>Profesa Robert Msanga wa Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (Muccobs) amependekeza muundo wa Muungano wa serikali mbili uendee kutumika isipokuwa uboreshwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa APPT Maendeleo, Peter Mziray, ameshauri kuwe na mjadala mkali na wenye hisia kali kuhusu muundo wa Serikali ya Jamhuri.

 

9 years ago

Mwananchi

Muundo wa Tanesco utazamwe upya

Kwa muda wa wiki moja kuanzia Agosti Mosi hadi juzi, wakazi wanaotumia nishati ya umeme katika wilaya za Kisarawe na Ilala katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani walikabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa umeme baada ya transfoma iliyopo Gongo la Mboto inayosambaza umeme katika maeneo hayo kupata hitilafu.

 

9 years ago

Habarileo

SUA yafanya mageuzi ya muundo

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kipo katika mageuzi ya muundo wake kutokana na kuandaliwa kwa mpango utakaoshusha madaraka katika ngazi za chini.

 

11 years ago

Habarileo

Muundo Muungano kujulikana Ijumaa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaMUUNDO wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza kujadiliwa rasmi kupitia Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba ambazo zinajadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu ya Katiba mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani