Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AFUNGUKIA PENZI NA NANDO WA BBA

Stori: Shakoor Jongo
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameibuka na kufunguka kuwa amekerwa na kitendo cha mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2013, Amir Khan Nando kujinadi kuwa aliwahi kuwa ‘mtu’ wake kitu ambacho si cha kweli. Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa kwa juzikati, Lulu alikiri kuwa Nando aliwahi kumtokea na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI

Stori: Musa Mateja na Mayasa Mariwata Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Muigizaji katika tasnia ya Muvi Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu'. Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa...

 

9 years ago

GPL

MASOGANGE AFUNGUKIA PENZI LA DAVIDO

VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. Video Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ . Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kwamba amekuwa akitoka kimalovee na Davido jambo ambalo halina ukweli wowote. “Kwanza kabisa Davido ni shemeji...

 

11 years ago

GPL

LULU AFUNGUKIA WABAYA WAKE

Stori: shakoor jongo
Kumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa yao ipo jikoni. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita jijini Dar, Lulu alisema kuwa kila kukicha lazima watu hao waibuke na jipya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Siasa na Kura Yake

Okay....nimeulizwa na Wengi na pengine yanasemwa mengi kuhusu ni Chama kipi cha Siasa nina support Kama ilivyoonekana Kwa Wasanii Wenzangu wengine..! Kwa kifupi nitajaribu kufafanua machache Kwa huu uwezo mdogo wa kufikiri nilijaaliwa na Mwenyezi Mungu..!

Kwanza,kila binadamu/mwananchi ana uhuru wa kuchagua na ku support anachokipenda...kwahyo sitangaa wala kuchukia Flani ku support upande flani


Pili,Mimi Kama mm(binafsi)hii ni Mara yangu ya kwanza kupiga kura kwahyo nimeamua kuitumia Kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Mimba Yake Iliyonzia Insta

HAPA NA PALE: Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaponda baadhi ya watu ambao hupenda kuvumisha mambo hasa kupitia mtandao picha wa Instagram kuhusiana na habari zizilosambaa siku za nyuma kuwa staa huyo ana ujauzito huku picha hiyo hapo juu ikitumika kuonyesha mimba yenyewe.

“Mimba yangu hii ilianzia Insta ikaishia insta. Pale unapoamua kufanya project zako binafsi na viungo vyako.Mana watu wakufanya nao project wameisha...wote washafanya project na washafanywa...

 

11 years ago

GPL

LULU: MIMI NIMPE PENZI DIAMOND..!

Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori:  Mayasa Mariwata
STAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa mitaani kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Nasibu Abdul…

 

10 years ago

GPL

SIRI PENZI LA ANTI LULU, BONDI YAFICHUKA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
SIRI imefichuka juu ya wasanii wawili waliokuwa wapenzi wa muda mrefu na kumwagana, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Bondi Sinan kwamba walipeana kiapo kizito, Ijumaa limetonywa. Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’. Chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, katika mapenzi yao waliapizana kwamba hakuna ruhusa kwa mmoja wao...

 

10 years ago

BBC

Why is a cheeky Nando's ad from 2012 popular again?

Why a cheeky Nando’s advert is suddenly popular

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani