Samia aahidi kubeba changamoto za walemavu
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazowakabili.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Mama Samia akutana na Wanawake wa UWT, Walemavu na Wajasiriamali mkoa wa Dar kujua changamoto zao
Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.
Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye...
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO
9 years ago
Habarileo05 Sep
Samia aahidi makubwa wa bodaboda
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha madawati maalumu katika Manispaa za Dar es Salaam kwa ajili ya kusajili madereva wa bodaboda na bajaji, iwapo chama chake kitachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Samia aahidi ujenzi wa mabwawa
Patricia Kimelemeta, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM), kimeahidi kujenga mabwawa makubwa ya maji ili kuondoa tatizo la maji lililopo mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Bahi mkoani Dodoma jana, mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan alisema uamuzi huo unalenga kumaliza kero ya maji ya muda mrefu ambayo imesababisha wananchi kukosa huduma hiyo.
Alisema kutokana na matatizo ya ukame yaliyopo katika mkoa huo, Serikali ya awamu ya tano itakayoongozwa...
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Samia aahidi mbadala wa mv Bukoba
9 years ago
Habarileo11 Sep
Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.
10 years ago
Habarileo01 Dec
Shule ya walemavu Buhangija yaelemewa na changamoto
SHULE ya watoto wenye ulemavu ya Buhangija Jumuishi inakabiliwa na changamoto kubwa zinazofanya maisha kwa watoto hao kuwa magumu.
9 years ago
Habarileo15 Sep
Samia aahidi neema kwa walima korosho
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Shule ya walemavu Buhangija Jumuishi yaelemewa na changamoto
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya msingi Buhangija Jumuishi ya mkoani Shinyanga Mwl. Loyce Daudi aliyekuwa akimwelezea changamoto mbalimbali walizonazo shuleni hapo.(Picha na Zainul Mzige).
Na MOblog, Shinyanga
SHULE ya watoto wenye ulemavu ya Buhangija Jumuishi inakabiliwa na changamoto kubwa zinazofanya maisha kwa watoto hao...