Samia aahidi ujenzi wa mabwawa
Patricia Kimelemeta, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM), kimeahidi kujenga mabwawa makubwa ya maji ili kuondoa tatizo la maji lililopo mkoani hapa.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Bahi mkoani Dodoma jana, mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan alisema uamuzi huo unalenga kumaliza kero ya maji ya muda mrefu ambayo imesababisha wananchi kukosa huduma hiyo.
Alisema kutokana na matatizo ya ukame yaliyopo katika mkoa huo, Serikali ya awamu ya tano itakayoongozwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Samia aahidi mbadala wa mv Bukoba
10 years ago
Habarileo05 Sep
Samia aahidi makubwa wa bodaboda
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha madawati maalumu katika Manispaa za Dar es Salaam kwa ajili ya kusajili madereva wa bodaboda na bajaji, iwapo chama chake kitachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo11 Sep
Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.
10 years ago
Habarileo23 Oct
Samia aahidi kubeba changamoto za walemavu
MGOMBEA Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazowakabili.
10 years ago
Habarileo15 Sep
Samia aahidi neema kwa walima korosho
ILANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa awamu ya tano ya Serikali, imejipanga kuweka bei nzuri na ya uhakika kwa wakulima wa korosho na ufuta nchini. Hayo yalisemwa mjini hapa katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan.
10 years ago
Habarileo09 Oct
Samia aahidi kujenga chuo cha mafunzo Kwimba
MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza kuwa Serikali ya awamu ya tano ya CCM itawajengea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ili kuwapatia fursa vijana wa jimbo hilo kupata mafunzo ya ufundi.
10 years ago
Michuzi
UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...


10 years ago
Michuzi
BI. SAMIA SULUHU AAHIDI NEEMA KWA WAKAZI WA MUSOMA MKUTANO WA KAMPENI...!

Alisema Serikali itakayoundwa na CCM imepanga kujenga maeneo ya kisasa ya maegesho ya meli (magati) Musoma na...
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Magufuli aahidi ujenzi wa madaraja, barabara za juu