Dude:Nina Watoto Wanane Tu!!
MWONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, ametaja idadi ya watoto wake akisema wapo wanane tu. Amekanusha vikali kuwa na timu ya mpira (watoto 11) idadi inayovumishwa na wengi.
Dude anatajwa kuwa ni msanii anayeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto kwa wasanii wengine wa kiume wa Tanzania.
“Kila mtu anasema anavyojisikia, mara ooh Dude ana timu nzima ya mpira wa miguu, lakini ukweli ni kwamba nina watoto wanane tu, ambao nimezaa na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uFCQvH3jdgC8-rU-qZjjpgdQvxPI4gVTChCHR80R*JyDXXWh6btfGTHQJNcI0wIs8w-aDlnJsWHZezpHLJgl4tHheM-uOVzx/ester.jpg)
ESTER: NINA ‘PROJECT’ NA DUDE!
11 years ago
Habarileo27 Jun
Werema: Nina watoto halafu natukanwa?
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa. Jana asubuhi baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan ‘Zungu’, aliwakuta Werema na Kafulila wakiendeleza mzozo nje ya ukumbi wa Bunge mjini...
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Prisons yaacha wachezaji wanane
11 years ago
Mwananchi31 May
Wanane wapigwa chini Simba
11 years ago
BBCSwahili29 Dec
Radi yauwa wanane Malawi
10 years ago
Mwananchi17 Jul
Majeruhi wanane urais CCM
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Watu wanane wauawa Burundi
BUNJUMBURA, BURUNDI
WATU wanane wameuawa kwa risasi kwenye mji mkuu wa Burundi, Bunjumbura usiku wa kuamkia jana.
Mji huo umekuwa ukikumbwa na mashambulizi ya risasi, milipuko ya mabomu tangu kumalizika kwa uchaguzi wa rais wenye utata miezi mitatu iliyopita.
Kwa mujibu ya walioshuhudia baadhi ya miili, ambayo ilikutwa katika barabara za vitongoji vya kaskazini mwa Bunjumbura ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, pamoja na alama za kamba kuashiria kuwa walifungwa nazo kabla ya...
10 years ago
Habarileo04 Apr
Madereva wanane wafutiwa leseni
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA) imewafutia leseni madereva wanane, waliosababisha ajali kwa uzembe na hawataruhusiwa kuendesha mabasi ya abiria.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wanane washinda kampeni ya Brazuka
WASHINDI nane walioshiriki kutuma ujumbe katika shindano la Brazuka, wamejinyakulia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu na ‘smartphone’. Akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa zawadi kwa washindi hao, Mratibu wa...