Werema: Nina watoto halafu natukanwa?
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa. Jana asubuhi baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan ‘Zungu’, aliwakuta Werema na Kafulila wakiendeleza mzozo nje ya ukumbi wa Bunge mjini...
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Dude:Nina Watoto Wanane Tu!!
MWONGOZAJI na mwigizaji mahiri katika tasnia ya filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, ametaja idadi ya watoto wake akisema wapo wanane tu. Amekanusha vikali kuwa na timu ya mpira (watoto 11) idadi inayovumishwa na wengi.
Dude anatajwa kuwa ni msanii anayeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto kwa wasanii wengine wa kiume wa Tanzania.
“Kila mtu anasema anavyojisikia, mara ooh Dude ana timu nzima ya mpira wa miguu, lakini ukweli ni kwamba nina watoto wanane tu, ambao nimezaa na...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Sitta: Natukanwa, ni mapambano
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema amekuwa akitishwa kupitia simu yake ya mkononi na kutaka baadhi ya vyombo vya habari na watu wanaomchukia, kutenganisha chuki hizo na Bunge Maalumu la Katiba. Akizungumza bungeni jana, Sitta alisema kwa siku anapokea ujumbe mfupi wa simu (SMS) 50 tofauti, wenye matusi jambo alilosema ni baada ya Chadema kuweka simu zake katika mtandao.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT1s5p-*OE-CyUCz8qavs0UNDuwleJGaWyGHDXQ1R1IsE40UIhaPWJaSSqcdyqDhy9QOGn9qrGj2KZIUJlva4yyX/150000080.jpg)
SITTI UMESHINDA, SAWA NINI KINAFUATA? HALAFU LUNDENGA NA WEWE!
10 years ago
Mwananchi29 Jun
NATOA HOJA : Taifa Stars majanga, halafu tumeitia janga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XnAxcylq3ii5q9mWm8WuZRjTHHqBfUsqbN43DATIJKfuktI2qA--zbd3yfp8BC-DcZ-fYduvGrgcd5wJzuCdfg5OhDmvEGSX/4ffgg.jpg?width=650)
UMEMPA MOYO WAKO WOTE HALAFU AKAKUTENDA? SOMA HAPA!
9 years ago
VijimamboColetha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN (USA) walivyo meremeta siku ya July 18, 2015 Azania Front halafu Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ
Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika julai 18 2015 katika kanisa la Azania Front, Dar es Salaam Tanzania.
10 years ago
Vijimambo23 Nov
`Werema jiuzulu`
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://sundayshomari.files.wordpress.com/2012/02/werema-hoi-bungeni.jpg)
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu ili kuisafisha serikali dhidi ya kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s72-c/Kafulila.jpg)
Kafulila amchefua Werema
Anusurika kuchapwa makonde bungeni Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s1600/Kafulila.jpg)
Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...
11 years ago
Mwananchi16 May
Werema alikoroga, alinywa