`Werema jiuzulu`
Wabunge CCM washinikiza kuiokoa serikali kashfa ya Escrow
Atia ngumu, adai hadi mtu aliyemwita ``bwana mkubwa`` pia anaijua
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu ili kuisafisha serikali dhidi ya kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Prof. Maghembe jiuzulu — Mnyika
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtumia ujumbe Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, akimshauri ajiuzulu kutokana na usugu wa tatizo la maji jijini Dar es Salaam. Mnyika pia aliwataka...
11 years ago
Mwananchi16 May
Werema alikoroga, alinywa
10 years ago
Habarileo17 Dec
Werema ang’oka
WAKATI Watanzania wakisubiri kusikia uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete juu ya maazimio manane yaliyotolewa na Bunge kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Werema: Ni uamuzi wa mkumbo
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s72-c/Kafulila.jpg)
Kafulila amchefua Werema
Anusurika kuchapwa makonde bungeni Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s1600/Kafulila.jpg)
Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...
11 years ago
TheCitizen22 Feb
Warioba, Werema differ
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s72-c/Fredrick-Werema.jpg)
Werema aliteleza - Bomani
NA RABIA BAKARI
SAKATA la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, kuchukizwa na kauli za kuudhi za Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila na kutaka kumchapa makonde, limechukua sura mpya.
Tukio hilo ambalo lilichafua hali ya hewa bungeni, limekuwa likivuta hisia za watu wengi, ambapo limemuibua Jaji Mstaafu Mark Bomani na kusema kuwa, Jaji Werema aliteleza.
![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s1600/Fredrick-Werema.jpg)
Alisema kwa wadhifa na majukumu mazito ya Jaji Werema ndani ya Bunge, hakupaswa kutoa maneno makali wala kujibizana na...
10 years ago
Mtanzania17 Dec
Jaji Werema ajiuzulu
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam,
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ambaye ni mmoja wa watuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow ametangaza kujiuzulu.
Hatua hiyo ya Werema imekuja wakati Watanzania wakiwa bado wanasubiri uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuhuau maamizio manane ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), aliyekagua miamala ya Akaunti ya Tegeta Escrow.
Katika...
10 years ago
Vijimambo17 Dec
Escrow yamng`oa Werema
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.thisday.co.tz/media/picture/large/Attorney%20General,%20Judge%20Frederick%20Werema.jpg)
Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...