Werema alikoroga, alinywa
>Kwa maneno ya siku hizi ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema ‘amelikoroga na kulinywa mwenyewe’, baada ya jana kutoa kauli ya kuudhi alipomtaka mbunge kutoka Zanzibar akaulize swali lake visiwani humo, iliyosababisha baadhi ya wabunge kususia Bunge na kutoka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Bulaya alikoroga Bunda
UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.
Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.
Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Lukuvi alikoroga kwa CUF
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amekiri kutoa maneno yanayodaiwa kuwa ya uchochezi kanisani kwa madai ya kuingiwa hofu na harakati za asasi...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Mgombea mwenza wa ACT alikoroga Karatu
10 years ago
Vijimambo23 Nov
`Werema jiuzulu`
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://sundayshomari.files.wordpress.com/2012/02/werema-hoi-bungeni.jpg)
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu ili kuisafisha serikali dhidi ya kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ya uchotwaji wa Sh. bilioni 306 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, iliyoko Benki Kuu ya...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Werema ang’oka
WAKATI Watanzania wakisubiri kusikia uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete juu ya maazimio manane yaliyotolewa na Bunge kuhusu sakata la uchotaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu wadhifa huo.
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Werema: Ni uamuzi wa mkumbo
10 years ago
Vijimambo17 Dec
Escrow yamng`oa Werema
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.thisday.co.tz/media/picture/large/Attorney%20General,%20Judge%20Frederick%20Werema.jpg)
Jaji Werema alijiuzulu jana kupitia barua yake aliyomwandikia Rais...
10 years ago
Mtanzania17 Dec
Jaji Werema ajiuzulu
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam,
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ambaye ni mmoja wa watuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow ametangaza kujiuzulu.
Hatua hiyo ya Werema imekuja wakati Watanzania wakiwa bado wanasubiri uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kuhuau maamizio manane ya Bunge yaliyotokana na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), aliyekagua miamala ya Akaunti ya Tegeta Escrow.
Katika...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s72-c/Fredrick-Werema.jpg)
Werema aliteleza - Bomani
NA RABIA BAKARI
SAKATA la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, kuchukizwa na kauli za kuudhi za Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila na kutaka kumchapa makonde, limechukua sura mpya.
Tukio hilo ambalo lilichafua hali ya hewa bungeni, limekuwa likivuta hisia za watu wengi, ambapo limemuibua Jaji Mstaafu Mark Bomani na kusema kuwa, Jaji Werema aliteleza.
![](http://4.bp.blogspot.com/-AqtUu86BW8w/U7V6-YpTSmI/AAAAAAAABTw/FhV-cThX4qA/s1600/Fredrick-Werema.jpg)
Alisema kwa wadhifa na majukumu mazito ya Jaji Werema ndani ya Bunge, hakupaswa kutoa maneno makali wala kujibizana na...