Lukuvi alikoroga kwa CUF
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amekiri kutoa maneno yanayodaiwa kuwa ya uchochezi kanisani kwa madai ya kuingiwa hofu na harakati za asasi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
Lukuvi awalipua CUF
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, amesema, si makosa raia wa Tanzania kuhofia majeshi ya ulinzi kuchukua nchi ikiwa muundo wa Muungano wa serikali mbili ukibadilishwa na kuwa serikali tatu.
11 years ago
Mwananchi16 May
Werema alikoroga, alinywa
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Bulaya alikoroga Bunda
UAMUZI wa vikao vya juu vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwapitisha wagombea ubunge bila ridhaa ya wanachama huenda ikaathiri mwenendo wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda.
Taarifa kutoka jimboni humo zinasema kwamba uteuzi wa Esther Bulaya aliyeanguka kwenye kura za maoni jimboni humo, umekipasua chama hicho baada ya viongozi wote wa juu jimboni humo kusimamishwa kazi na baadaye kutangaza kuachia madaraka.
Esther alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) kabla ya kuamua...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Mgombea mwenza wa ACT alikoroga Karatu
10 years ago
Habarileo17 Dec
CCM yashinda kwa 99.5% kwa Lukuvi
JIMBO la Isimani mkoani Iringa linaloongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, kwa asilimia 99.5, limetawaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwishoni mwa wiki kote nchini.
11 years ago
Mwananchi16 Apr
‘Lukuvi anajenga hofu kwa wananchi’
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Lukuvi awashukia wauzaji mihadarati kwa wanafunzi
10 years ago
Habarileo07 Aug
Lukuvi awakabidhi kwa Takukuru maofisa ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewakabidhi mikononi mwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa(Takukuru) maofisa wawili wa Idara ya Ardhi wa halmashauri ya jiji la Mbeya, na mmoja kutoka ofisi ya wizara yake wanaokabiliwa na tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume cha sheria.
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Lukuvi aagiza halmashauri kutenga ardhi kwa NHC