Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yashinda kwa 99.5% kwa Lukuvi

Wiliam LukuviJIMBO la Isimani mkoani Iringa linaloongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, kwa asilimia 99.5, limetawaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwishoni mwa wiki kote nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA


Mgombea Ubunge Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa  akiwa amebebwa na wafuasi wa chama hicho jana usiku katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Iringa baada kutangazwa matokeo ya awali yasiyo rasmi .Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi wa kishindo kwa kushinda kata zote 13 zilizoko kwenye jimbo hilo la Kalenga.  =======  =====  ======= Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Kalenga Iringa vijijini yametangazwa rasmi jana usiku...

 

9 years ago

Global Publishers

Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa wateja‏

pic 1 (3)MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.

Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja

Dar es Salaam, Jumanne...

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

10 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA 2-1 KWA LIVERPOOL

Mchezaji wa timu ya Liverpool akishangilia Can jumps  baada ya kufunga bao dakika ya tisa kipindi cha kwanza. Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa  (kulia) akifunga bao la pili dakika ya 67 kipindi cha pili.…

 

9 years ago

Michuzi

PONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA

TAWI LA CCM CHINA TUNAKUPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAFANIKIO KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA JUU WA NCHI YETU.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWA FC YASHINDA 5-3, YAOMBA UDHAMINI KWA WADAU

Mchezaji wa Taswa FC, Shadrack Kilasi akimiliki mpira katika moja ya mechi za timu hiyo mkoani Iringa.


Na Mwandishi wetu
Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba katika mechi zake za kirafiki baada ya kuisambaratisha timu ya Warioba Veterans mabao 5-3 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama. 
Taswa FC ambayo inadhaminiwa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ilianza mchezo huo polepole huku wapinzani wao wakiongozwa na Barnaba Emilio...

 

10 years ago

Michuzi

Taswa FC yashinda 5-3 Morogoro, yaomba udhamini toka kwa wadau

Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC imeendelea kutamba katika mechi zake za kirafiki baada ya kuisambaratisha timu ya Warioba Veterans mabao 5-3 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Bora, Kijitonyama. Taswa FC ambayo inadhaminiwa na Benki ya Posta Tanzania (TPB) ilianza mchezo huo polepole huku wapinzani wao wakiongozwa na Barnaba Emilio na Jerry Mtetema kutawala dakika 10 za mwanzo na kukosa mabao kadhaa. Taswa FC chini ya Ali Mkongwe, Majuto “Ronaldo”...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lukuvi alikoroga kwa CUF

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amekiri kutoa maneno yanayodaiwa kuwa ya uchochezi kanisani kwa madai ya kuingiwa hofu na harakati za asasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani