Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SITTI UMESHINDA, SAWA NINI KINAFUATA? HALAFU LUNDENGA NA WEWE!

KWAKO
Miss Sitti Mtemvu mwakilishi wa Wilaya ya Temeke na sasa wewe ni Redds Miss Tanzania 2014.
Vipi uko poa? Raha ya ushindi unaionaje? Najua sasa hivi bado hujatulia, unatafakari kwa makini juu ya shilingi milioni 18 ulizokabidhiwa kama mshindi, tafakari mama, ndiyo muda wake. Ukitaka kujua hali yangu, mimi ni mzima wa afya, namshukuru Mungu. Hongera kwa ushindi uliopata japo nimesikia kuna baadhi ya watu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LUNDENGA AWAKA KISA SITTI


Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Lino International Agency ambao ndiyo waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga amewaka kinomanoma baada ya kuulizwa habari za mrembo wake aliyejivua taji hivi karibuni, Sitti Mtemvu. Aliyekuwa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu. Lundenga alibwatuka maneno makali baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya uwepo wa taarifa kwamba shindano hilo linaweza kufungiwa kutokana na kashfa...

 

11 years ago

Vijimambo

HASHIM LUNDENGA AKANUSHA HABARI ZA SITTI MTEMVU aka MISS TANZANIA KUJIVUA TAJI.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kati pichani), amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu (pichani kushoto) amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).

Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani,...

 

10 years ago

Bongo5

Lundenga ajibu swali la kama Sitti Mtemvu atanyang’anywa zawadi alizopewa aliposhinda taji la Miss Tanzania 2014

Mkurugenzi wa LINO International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amesema miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kwa wingi jana kwenye ‘Kikaangoni’ ya EATV, ni pamoja na swala la Sitti Mtemvu kama atanyang’anywa zawadi alizopewa ili akabidhiwe aliyevishwa taji hilo baada ya yeye kujivua. “Kwanza hii ni mara ya kwanza kwa […]

 

11 years ago

Mwananchi

Wewe na mimi tunafanya nini kuendeleza elimu?

Uzoefu wangu wa kufuatilia masuala ya elimu unaonyesha aghlabu matatizo mengi katika sekta ya elimu yanatokana na Serikali kama mdau mkuu.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI UACHWE WEWE KILA SIKU?

Mungu ni mwema! Leo kama ada tunakutana mpenzi msomaji wangu wa Love & Life katika kilinge chetu hiki kwa lengo la kuelimishana na kukumbushana masuala ya mahusiano ambayo yametawala kwa kiasi kikubwa maisha yetu. Leo tutazungumzia kuhusu tatizo linaloonekana kukithiri na kuwatatiza watu wengi ambao wamejaribu kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kujikuta wakiambulia maumivu ya kuachwa kila mara na watu waliowakabidhi mioyo yao...

 

10 years ago

GPL

WANAPENDANA, WEWE UNAWAFITISHA WAACHANE ILI UPATE NINI?

Namshukuru Mungu kwa kunifanya niione wiki hii nikiwa mzima wa afya huku nikiendelea vyema na shughuli zangu za kila siku kama kawaida. Natumaini nawe hujambo na uko tayari kukisoma kile nilichokuandalia. Hata hivyo, kabla ya kwenda kwenye mada ya leo, niwashukuru sana wasomaji wangu ambao wamekuwa wakinitumia sms na wakati mwingine kunipigia kunipongeza kwa yale ambayo nimekuwa nikiyaandika kupitia ukurasa huu. Namshukuru sana...

 

10 years ago

GPL

SHOGA, CHAKULA ULE WEWE KWA NINI UWAKERE WENZAKO?

Shoga zangu, leo nitazunguma nanyi ‘topiki’ inayohuwahusu wenzetu wanaoishi katika nyumba ambazo hazina silingibodi.Naamini hakuna mtu asiyejua maana ya silingibodi, kama wapo ambao nitakuwa nimewaacha hewani, namaanisha wenzetu wanaoishi kwenye nyumba ambazo darini hakujazibwa. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1GiCHTx

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda anatafuta utajiri kwa kuuza embe, wewe unafanya nini? — (1)

Siku hizi vijana wengi ambao wako tu mitaani bila shughuli wakidai kuwa hawana ajira.Hawa utawaona vijiweni ama wakizurura tu mitaani kuanzia asubuhi hadi jioni.

 

10 years ago

Michuzi

Sitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall


Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti.

Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la Sitti……Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani