Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prisons yaacha wachezaji wanane

Timu ya Tanzania Prisons ya jijini hapa imewafungashia virago wachezaji wake wanane kati ya 11 waliomaliza mikataba ya kuichezea timu hiyo kwa msimu uliopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

9 years ago

GPL

40 YA TIFFAH YAACHA MADENI!

0OHOOO! Kuna madai kwamba, ile pati ya kukata na shoka ya kutimiza siku 40 kwa mtoto wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ iliisha huku nyuma ikiacha madeni ya kiasi cha shilingi 1,005,000, Amani limechimbua.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1L5tuVy

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi yaacha gumzo Rombo

Maharusi wilayani hapa wameacha gumzo baada ya kukodi helikopta kutoka Kenya kunogesha harusi yao na kuruka angani.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yaacha vilio, simanzi Dar

Manispaa ya Kinondoni jana ilisababisha vilio kwa wakazi wa maeneo wa wilaya hiyo ilipoanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa maeneo ya wazi na hifadhi kinyume cha sheria. Juzi, Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Moses Kusirika alitangaza operesheni ya kubomoa nyumba hizo kuanzia jana na kuwa baada ya Kinondoni watahamia wilaya nyingine na mikoani pia.

 

9 years ago

Habarileo

Kamati Stars yaacha deni Sh milioni 70

KAMATI ya Saidia Taifa Stars iliyoundwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya maandalizi ya mchezo na Algeria wa kufuzu Kombe la Dunia imevunjwa rasmi, lakini ikiacha deni la Dola za Marekani 35,000(zaidi ya Sh milioni 70).

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaacha watoto bila wazazi

Ebola ni janga kubwa nchini Guinea, Liberia na Sierra Leone, ambako zaidi ya watoto 4,000 wameachwa bila wazazi

 

10 years ago

GPL

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor.…

 

11 years ago

Habarileo

Mvua yaacha watu 400 bila makazi

MVUA kubwa iliyoambatana na mawe na upepo mkali, imewaacha zaidi ya watu 400 katika kijiji cha Mwandoya wilayani Meatu mkoani Simiyu bila kuwa na mahali pa kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani