Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati Stars yaacha deni Sh milioni 70

KAMATI ya Saidia Taifa Stars iliyoundwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa ajili ya maandalizi ya mchezo na Algeria wa kufuzu Kombe la Dunia imevunjwa rasmi, lakini ikiacha deni la Dola za Marekani 35,000(zaidi ya Sh milioni 70).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

RT yasaka Sh9 milioni kulipa deni la tiketi

Licha ya kuingia kwenye 10 bora ya riadha duniani, Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) linahaha kusaka Dola 5904 (sawa na Sh 9, 446, 400) kulipia deni la tiketi za wanariadha walioiwakilisha nchi kwenye mbio za dunia za nyika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki kulipa deni la dola milioni 450

Ugiriki inatarajiwa leo Alhamisi kulipa nusu ya deni lake la dola milioni 450 inayodaiwa na shirika la fedha Duniani IMF.

 

9 years ago

Mtanzania

Kamati Taifa Stars yavunjwa

Jamal+MalinziNA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.

Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu  kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi waula Kamati ya Stars

KAMATI mpya ya kusaidia timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ ilijitambulisha rasmi jana mbele ya vyombo vya habari, huku ikitangaza kuteua kamati nne ndogo kwa ajili ya kuhakikisha inasimamia ipasavyo mikakati mbalimbali ya ushindi, ikianzia katika mchezo ujao dhidi ya Algeria.

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAUNDA KAMATI YA TAIFA STARS


Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda kamati maalum itakayoitwa “Kamati ya Taifa Stars” ambayo majukumu yake yatakua:(i) Kuimarisha huduma kwa wachezaji,(ii) Uhamasishaji na Masoko,(iii) Kuhamasisha wachezaji,(iv) Kuandaa na kusimamia mkakati wa Ushindi.
Kamati hii itaongozwa na Mwenyekiti Farough Baghouzah, Teddy Mapunda (Katibu), Wajumbe...

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars yaundiwa kamati ya ushindi

KATIKA kuhakikisha timu ya soka ya Tanzania inafanya vizuri katika kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 na fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi, kamati maalumu ya ushindi imeundwa kuisaidia timu hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

TFF, Kamati Taifa Stars zatofautiana

SHIRIKI la Soka Tanzania (TFF) na Kamati ya Taifa Stars zimetofautiana katika kauli zao kuhusu kiasi cha fedha watakachopewa wachezaji baada ya kutoka sare ya 2-2 na Algeria Jumamosi. Taifa Stars na Algeria zilipambana kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Dunia.

 

9 years ago

Mwananchi

Udhamini TBL, bakuli la kamati Stars!

Hiki ni kichekesho cha aina yake, kwamba licha ya kamati ya ushindi ya Taifa Stars kuwataka Watanzania waichangie timu hiyo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa ikitoa Dola 2 milioni kila mwaka (zaidi ya Sh4 bilioni) kwa ajili ya kuidhamini timu hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA TAIFA STARS YATAMBULISHWA RASMI

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bwana Farough Baghozah leo hii amekutana na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam na kuitambulisha rasmi kamati hiyo.Katika kamati hiyo ya Taifa ya Stars wapo Michael Wambura – Makamu Mwenyekiti, Bi Teddy Mapunda – Katibu, Wakili Imani Madega – Mweka Hazina, na wajumbe wengine ni Juma Pinto, Isaac Chanji, Salum Abdalla na Moses Katabaro.Pia Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani