Udhamini TBL, bakuli la kamati Stars!
Hiki ni kichekesho cha aina yake, kwamba licha ya kamati ya ushindi ya Taifa Stars kuwataka Watanzania waichangie timu hiyo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imekuwa ikitoa Dola 2 milioni kila mwaka (zaidi ya Sh4 bilioni) kwa ajili ya kuidhamini timu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
9 years ago
Habarileo08 Sep
TBL wataka Stars isibweteke
MENEJA wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli ambaye bia hiyo inadhamini timu ya Taifa (Taifa Stars), amesema kiwango kilichooneshwa na timu katika mechi dhidi ya Nigeria ya kufuzu kucheza AFCON 2017, kinatia moyo na endapo wachezaji wataendelea hivi, watafika mbali.
11 years ago
MichuziKAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL
9 years ago
Habarileo20 Oct
Waandishi waula Kamati ya Stars
KAMATI mpya ya kusaidia timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ ilijitambulisha rasmi jana mbele ya vyombo vya habari, huku ikitangaza kuteua kamati nne ndogo kwa ajili ya kuhakikisha inasimamia ipasavyo mikakati mbalimbali ya ushindi, ikianzia katika mchezo ujao dhidi ya Algeria.
9 years ago
Mtanzania27 Nov
Kamati Taifa Stars yavunjwa
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, jana imevunjwa rasmi baada ya kumaliza kazi yao iliyokuwa inawakabili ya kuhamasisha mechi dhidi ya Algeria.
Kamati hiyo iliyoundwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, ilikuwa na kazi ya kuhakikisha Taifa Stars inafanya vema kwenye michuano ya kuwania kufuzu kwa kombe la dunia 2018 nchini Urusi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Farough Baghouzah,...
9 years ago
Michuzi15 Oct
TFF YAUNDA KAMATI YA TAIFA STARS
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/VDWXDz51q26oe_9JNibFJZXIod4Vn1gVggGo3yWDMM_pJDRgmYtxnollbmcZR9xQ4D9nR3OezpqXClM8jw=s0-d-e1-ft#http://tff.or.tz/images/malinziArst.png)
Katika kuimarisha maandalizi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) kuelekea katika mashindano mbalimbali ikiwemo mechi mbili za ugenini na nyumbani dhidi ya Algeria, Rais wa TFF Jamal Malinzi ameunda kamati maalum itakayoitwa “Kamati ya Taifa Stars” ambayo majukumu yake yatakua:(i) Kuimarisha huduma kwa wachezaji,(ii) Uhamasishaji na Masoko,(iii) Kuhamasisha wachezaji,(iv) Kuandaa na kusimamia mkakati wa Ushindi.
Kamati hii itaongozwa na Mwenyekiti Farough Baghouzah, Teddy Mapunda (Katibu), Wajumbe...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QVqMmwKHV3o/Vlf-vM7t2wI/AAAAAAAIIi4/Odw4ZX3_xO8/s72-c/kamatistars.png)
KAMATI YA TAIFA STARS, YAWASHUKURU WATANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-QVqMmwKHV3o/Vlf-vM7t2wI/AAAAAAAIIi4/Odw4ZX3_xO8/s640/kamatistars.png)
Farough alianza kwa kuwashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi katika mechi ya Taifa Stars na Algeria na kuwashukuru pia wale wote waliosafiri na timu hiyo ya Taifa, Taifa Stars kwenda Algeria katika mechi ya marudiano.
Pia Mwenyekiti amechukua fursa hiyo...
9 years ago
Habarileo16 Oct
Taifa Stars yaundiwa kamati ya ushindi
KATIKA kuhakikisha timu ya soka ya Tanzania inafanya vizuri katika kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 na fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi, kamati maalumu ya ushindi imeundwa kuisaidia timu hiyo.
9 years ago
Michuzi20 Oct
KAMATI YA TAIFA STARS YATAMBULISHWA RASMI
![](http://tff.or.tz/images/starscommittee.png)