Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR

Meneja wa Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo , akifurahia tuzo ya udhamini kwa upande wa vinjwaji katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa baada kuipokea kutoka kwa  Makamu wa Pili wa  Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi, Seif Alli Idd Dar es Salaam.Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalla Kigoda.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya TTCL yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!

IMG_0172

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.

IMG_0135

Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.

IMG_0183

 

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.

Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.

Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL...

 

11 years ago

Dewji Blog

UN yazidi kung’aa maonyesho ya Sabasaba, yatwaa tuzo ya “machapisho kwa umma”

DSC_0208

DSC_0209

DSC_0218

Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao na nyuso za bashasha baada ya kunyakua tuzo ya Machapisho kwa Umma (Mass Media na Publicity) kwa mara ya tatu mfululizo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Kutoka kushoto ni Programme Coordination...

 

11 years ago

GPL

UN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA MACHAPISHO KWA UMMA

Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa wameshikilia tuzo pamoja na cheti walichotunikiwa jana wakati wa ufunguzi rasmi wa maonyesho hayo yaliyopewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi. Afisa Habari wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma Ledama (wa tatu kushoto) akizungumza na mzazi aliyeambatana… ...

 

10 years ago

Michuzi

AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kimeshiriki maonesho ya 39 ya kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kuelezea umma juu ya shughuli zake mbalimbali ikiwemo masuala ya uendeshaji wa mikutano. AICC ilielezea pia uwepo wa kituo chake cha Mikutano kwa Mkoa wa Dar es Salaam kijulikanacho kama Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC) chenye kumbi zenye uwezo wa kuhudumia wageni 10-1000. Mbali na masuala ya mikutano AICC pia iliweza kuwaelezea wadau...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo

 Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama  Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo

 Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema. Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata  maelezo  leo   kuhusu bidhaa  mbalimbali  kutoka kwa Bi mkubwa  Juma kwenye banda la Zanzibar  katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto  ni  Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

MATAIFA 31 KUSHIRIKI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM (MAARUFU KAMA SABASABA)

MKURUGENZI Mkuu wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko, akizungumza na waandishi wa haabari kuhusiana na kuingia Ubia na kampuni  ya Mawasiliano ya Vodacom, Kama mdhamini Mkuu wa Mawasiliano wakati wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA UZINDUZI RASMI WA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA DAR

Vijana wa Scout walivyokuwa wamepanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akishuka katika viwanja vya Sabasaba jana. Lango kuu la kuingia kwenye ukumbi uliokuwa umeandaliwa maalum kwa mgeni rasmi. Baadhi ya watu waliofurika katika viwanja hivyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani