UN yazidi kung’aa maonyesho ya Sabasaba, yatwaa tuzo ya “machapisho kwa umma”
Wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao na nyuso za bashasha baada ya kunyakua tuzo ya Machapisho kwa Umma (Mass Media na Publicity) kwa mara ya tatu mfululizo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Kutoka kushoto ni Programme Coordination...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0226.jpg)
UN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TUZO YA MACHAPISHO KWA UMMA
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
PPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar
Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho...
11 years ago
GPLPPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziTANZANITE YAZIDI KUNG'ARA KWENYE MAONYESHO YA VITO NCHINI BANGKOK
11 years ago
MichuziTBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Kampuni ya TTCL yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.
Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.
![Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0147.jpg)
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Umoja wa Mataifa waibuka kidedea katika uhabarishaji na utoaji elimu kwenye tuzo za maonyesho ya 39 ya Sabasaba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yalipozinduliwa rasmi. Wanaoshuhudia tukio hilo...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_01781.jpg)
UMOJA WA MATAIFA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UHABARISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWENYE TUZO ZA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA
10 years ago
VijimamboNYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA