Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA MATAIFA WAIBUKA KIDEDEA KATIKA UHABARISHAJI NA UTOAJI ELIMU KWENYE TUZO ZA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA‏

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) Cheti na Tuzo katika kipengele cha Uelimishaji Bora kupitia Uandishi wa Machapisho na Mpangilio Bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Umoja wa Mataifa waibuka kidedea katika uhabarishaji na utoaji elimu kwenye tuzo za maonyesho ya 39 ya Sabasaba

DSC_0178

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkadhi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) cheti na tuzo katika kipengele cha  Uelimishaji bora kupitia Uandishi wa machapisho na mpangilio bora wa maonyesho, baada ya Umoja wa Mataifa kuibuka mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba yalipozinduliwa rasmi. Wanaoshuhudia tukio hilo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania atembelea banda la Modewjiblog maonyesho ya Sabasaba leo

IMG_6278

Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu mwezi Septemba unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa ya maonyesho ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huo kupata habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na ushauri wa maboresho...

 

11 years ago

Michuzi

LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA

 Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko  Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti  Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo  King Majuto akifurahi mara baada ya kuppokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

GPL

NJOO SABASABA UJUE UMOJA WA MATAIFA, MIAKA 70 YA KUTETEA USTAWI WA DUNIA‏

Muonekano wa nje wa Banda la Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), Tanzania lililopo ndani ya Karume Hall wanaoshiriki katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam ya sabasaba yaliyoanza kurindima jana kwenye katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.  …

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA AFRI-TEA &COFFEE BLENDERS (1963)LIMITED,KATIKA MAONYESHO YA SABASABA WAIBUKA NA BIDHAA MPYA YA UJI BORA

Mkuu wa Masoko wa Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited, Zachy Mbenna akikagua bidhaa za Afri-Tea& Coffee Blenders katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mteja akionja Uji Bora kama bidhaa mpya ambao hutengenezwa na Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Umoja wa Mataifa katika utendaji wa elimu

MATAIFA yanayoendelea yanategemea kwa kiasi kikubwa kupata misaada kutoka taasisi za kimataifa ikiwemo Umoja wa Mataifa(UN), wamejikita kutoa misaada katika nyanja za afya, elimu na lishe.

Katika elimu UN inatoa msaada mkubwa kwa Serikali ya Tanzania kutoa elimu bora iliyo sawa kwa wote katika kila ngazi.

Utendaji kazi huu unalenga kukuza ubora wa elimu na katika jitihada zitakazomsaidia mwanafunzi nchini na kukuza ubora wa ufundishaji, kutoa fursa kwa makundi ya watu walio pembeni...

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA!‏

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye… ...

 

11 years ago

GPL

MICHUZI AFURAHISHWA NA HUDUMA ZA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.
Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa Michuzi Blog, Ndg Muhidin Issa Michuzi wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba.… ...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF WAIBUKA WASHINDI WA JUMLA MAONYESHO YA SABASABA

 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Biashara ya 39 ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Kigoda na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade), Jacquline Maleko.  Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani