Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA!‏

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mambo yameiva ndani ya banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba!

DSC_0004

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.

DSC_0008

Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba kwa sababu MeTL Group wamekuwa Mawakala waliothibitishwa Tanzania nzima (Authorized...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wamiminika ndani ya banda la MeTL GROUP maonyesho ya Sabasaba jijini Dar

DSC_0086

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji (wa pili kushoto). Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali na Kushoto ni Afisa Mauzo wa MeTL GROUP, Yusuf Sadiq.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mkewe akiwasili katika banda la Makampuni ya MeTL Group...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamrashamra za manunuzi ya bidhaa katika banda la MeTL Group maonyesho ya Sabasaba

IMG_6798

Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack, akisikiliza maoni kutoka kwa mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la Kampuni ya MO Assurance lililopo ndani ya banda la MeTL Group katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

IMG_7151

Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO, (MO ASSURANCE),  Ravinshankar Venkatrama (kulia) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo...

 

10 years ago

GPL

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA‏

Afisa Masoko Bi. Kilave Atenaka (Kulia) wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundo Mbinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) akiwasikiliza wateja waliotembelea katika banda kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, Dar es Salaam yanayoendelea katika mabanda ya Saba Saba katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndani ya banda la Wizara ya Fedha.…
...

 

11 years ago

GPL

JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA MeTL SABASABA‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa. WATEJA wanaotembelea banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea kwenye mabanda ya SabaSaba katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu wanatarajiwa kuchezeshewa droo maalum itakayotoa zawadi mbalimbai ikiwemo pikipiki. Katika droo hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA SABASABA NDANI YA BANDA LA WIZARA YA FEDHA

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT –PID) ipo kwenye maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa, Dar es Salaam yananoendelea katika mabanda ya Saba Saba katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Banda la UTT PID lipo jirani na kuingia katika Banda la Wizara ya Fedha upande wa kulia… karibuni sana wananchi mnaombwa kujitokeza kwa wingi mjipatie huduma mbali mbali zinazotolewa na taasisi hiyo ikiwemo huduma za uuzwaji wa viwanja katika...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Pinda atembelea Banda la PSPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akipatiwa huduma na mtafiti mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Maagi Thomas, kwenye banda la Mfuko huo lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha kwenye...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA BENKI KUU LAWAVUTIA WENGI KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Wadau wakiendelea kumiminika kwa wingi kwenye Banda la Benki Kuu lililopo kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Mmoja wa Maafisa wa Benki Kuu akitoa maelezo kwa Wadau waliotembelea kwenye Banda hilo ili kufahamu maswala mbali mbali ya Kibenki,wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Benki Kuu wakiendelea kutoa somo wa watu mbali mbali waliofika kwenye banda hilo,huku moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani