Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANDA LA BENKI KUU LAWAVUTIA WENGI KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Wadau wakiendelea kumiminika kwa wingi kwenye Banda la Benki Kuu lililopo kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Mmoja wa Maafisa wa Benki Kuu akitoa maelezo kwa Wadau waliotembelea kwenye Banda hilo ili kufahamu maswala mbali mbali ya Kibenki,wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Benki Kuu wakiendelea kutoa somo wa watu mbali mbali waliofika kwenye banda hilo,huku moja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BANDA LA UTT LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA



Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT, Daudi Mbaga akizungumza na wateja waliotaka kujua faida watakazopata baada ya kujiunga na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Banda la NHIF lawavutia wengi Zanzibar

BANDA la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Zanzibar limekuwa kivutio kwa wananchi waliofika kwenye maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani hapa. Mamia ya wananchi waliofika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la ASAS Dairies Ltd lavutia wengi maonyesho ya sabasaba Dar, uongozi wasifu pongezi za Rais Jk

Rais Dr Jakaya Kikwete akipata  maelezo ya  bidhaa  za Asas Daireis Ltd  kutoka kwa Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw Jimmy Kiwelu alipotembelea  mabanda mbali mbali  katika  maonyesho ya  sikukuu ya   sabasaba yanayotaraji  kuhitimishwa kesho jijini Dar es salaam. Rais  Dr  Kikwete  akipata  maelezo ya  bidhaa za Asas Dairies Ltd kampuni  hii  ni  ndio kampuni bora ya  usindikaji maziwa nchini Tanzania kwa miaka mitatu  mfululizo sasa. Rais  Dr Kikwete  akitazama  baadhi ya  bidhaa zenye...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAVUTIA WATU WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kutembelea banda lao ili kupata huduma mbalimbali za Fedha.
Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.


Aliongeza kuwa Benki ya CRDB pia imeweka Mobile  Branch ambayo hufanya kazi zote zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.


Titus alisema pia...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Pinda atembelea Banda la PSPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akipatiwa huduma na mtafiti mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Maagi Thomas, kwenye banda la Mfuko huo lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha kwenye...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mambo yameiva ndani ya banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba!

DSC_0004

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.

DSC_0008

Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba kwa sababu MeTL Group wamekuwa Mawakala waliothibitishwa Tanzania nzima (Authorized...

 

11 years ago

GPL

MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE MAONYESHO YA SABASABA!‏

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye… ...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini jana, Julai 4, 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani