WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMh. Pinda atembelea Banda la PSPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
11 years ago
MichuziWaziri wa Kazi na Ajira atembelea Banda la GEPF kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar leo
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea banda la kampuni ya Property International Limited katika maonyesho ya Sabasaba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali...
11 years ago
Michuzi02 Jul
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY INTELNATIONAL LIMITED KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA
11 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF ATEMBELEA BANDA LAO KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake....
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mh. Kabaka atembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba na kuvutiwa na Utendaji Kazi wa Mfuko huo
Mwenyekiti wa Bodi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah (Kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya sabasaba.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka akipokelewa na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar Es Salaam.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni...
11 years ago
MichuziMh. Kabaka atembelea Banda la PSPF sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF
10 years ago
MichuziWAZIRI WA KAZI NA AJIRA ATEMBELEA BANDA LA NSSF KWENYE MAONESHO YA SABASABA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10