Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Kabaka atembelea Banda la PSPF sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kabaka atembelea sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.  Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha kadi mpya ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Pinda atembelea Banda la PSPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akipatiwa huduma na mtafiti mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Maagi Thomas, kwenye banda la Mfuko huo lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha kwenye...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, Costantina Martin. Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini jana, Julai 4, 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Kabaka atembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba na kuvutiwa na Utendaji Kazi wa Mfuko huo

IMG_2380

Mwenyekiti wa Bodi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah (Kulia) akisalimiana na Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya sabasaba.

IMG_2382

Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Gaudensia Kabaka akipokelewa na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar Es Salaam.

IMG_2386

Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA PSPF,AVUTIWA NA NAMNA WATU WALIVYOHAMASIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

 Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (katikati) na Gasper Lyimo jana alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Pinda alifurahishwa na juhudi za PSPF za kuhakikisha idadi kubwa ya watanzania wanaingia katika hifadhi ya jamii. Mhadisi Alli Shanjirwa akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliotembelea katika banda ya PSPF katika maonesho yanayoendelea...

 

10 years ago

GPL

SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA

Wasanii Mrisho Mpoto na Kundi la Orijino Commedi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yavuna wanachama 500 Sabasaba

“NIMEJIUNGA kuwa mwanachama wa hiari katika Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwa kuwa kuna utaratibu baada miezi 12 unaweza kuchukua fedha zako,” anaanza kueleza Msanii, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ alipozungumza na...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAMIMINIKA BANDA LA PSPF, WAVUTIWA NA HUDUMA ZA MFUKO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Adam Mayingu (watatu kutoka kushoto) na Maofisa wengine wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF alipotembelea banda la Mfuko huo katika Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda akimpongeza mmoja wa wanachama wapya wa Mpango wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani