WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA PSPF,AVUTIWA NA NAMNA WATU WALIVYOHAMASIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (katikati) na Gasper Lyimo jana alipotembelea banda la PSPF katika maonesho ya 39 ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Pinda alifurahishwa na juhudi za PSPF za kuhakikisha idadi kubwa ya watanzania wanaingia katika hifadhi ya jamii.
Mhadisi Alli Shanjirwa akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja waliotembelea katika banda ya PSPF katika maonesho yanayoendelea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo
MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI WA PSPF NI MKOMBOZI


11 years ago
Michuzi
MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI WA PSPF NI MKOMBOZI - ILOMO
Bw. Ilomo alisema hayo Mjini Bagamoyo wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa ajili ya Maafisa Rasilimali Watu kutoka wakala mbalimbali za Serikali
Kutokana na mabadiliko kwenye sekta ya hifadhi ya jamii, PSPF ilianzisha Mpango wa Uchangiaji wa Hiari maarufu kama PSS ili kuweza...
11 years ago
Tanzania Daima20 Oct
‘Watanzania jiungeni mpango wa uchangiaji wa hiari wa PSPF’
WATANZANIA wameshauriwa kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari wa mfuko wa Pensheni wa PSPF, ili kujiongezea kipato na kuishi maisha ya staha. Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki mjini...
10 years ago
Michuzi
JK: PSPF ENDELEENI KUTOA ELIMU YA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI

· Wengi wajiuga na Mpango huoRAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameushauri Mfuko wa Pensheni wa PSPF kuendelea kutoa elimu ya Mpango wa uchangiaji wa hiari kwa watanzania.
Mheshimiwa Rais alisema hayo mwishoni mwa wiki...
11 years ago
GPLWANANCHI JIJINI DAR WACHANGAMKIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI KUTOKA PSPF
10 years ago
Michuzi
PSPF YATOA ELIMU YA MFUKO KWA WAHESHMIWA MABALOZI, WAHAMASIKA WAJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI
Katika semina hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Ramada, jijini Dar es Salaam, Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF Costantina Martin alipata fursa ya kutoa mada juu ya PSPF.
Mada ya meneja huyo wa PSPF ilijikita katika maeneo yafuatayo; historia ya PSPF, wanachama wa PSPF, Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, mpango wa lazima, mafao yatolewayo na PSPF, mikopo...
11 years ago
GPL
WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA MAX MALIPO


10 years ago
Dewji Blog22 Jun
PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar
Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...