Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Banda la ASAS Dairies Ltd lavutia wengi maonyesho ya sabasaba Dar, uongozi wasifu pongezi za Rais Jk

Rais Dr Jakaya Kikwete akipata  maelezo ya  bidhaa  za Asas Daireis Ltd  kutoka kwa Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw Jimmy Kiwelu alipotembelea  mabanda mbali mbali  katika  maonyesho ya  sikukuu ya   sabasaba yanayotaraji  kuhitimishwa kesho jijini Dar es salaam. Rais  Dr  Kikwete  akipata  maelezo ya  bidhaa za Asas Dairies Ltd kampuni  hii  ni  ndio kampuni bora ya  usindikaji maziwa nchini Tanzania kwa miaka mitatu  mfululizo sasa. Rais  Dr Kikwete  akitazama  baadhi ya  bidhaa zenye...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BANDA LA UTT LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA



Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT, Daudi Mbaga akizungumza na wateja waliotaka kujua faida watakazopata baada ya kujiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

banda la Wizara ya Fedha.lavutia wengi maonesho ya sabasaba

Mwananchi (kulia) akiwauliza maswali wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania(kushoto)  juu ya huduma mbalimbali za Benki hiyo leo jijini Dar es salam wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Tasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA )Mzee Boma(wa pili kulia) akisaini Kitabu cha wageni leo jijini Dar es salaam wakati yeye na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) DKT. Joseph Kihanda (kulia) walipotembelea  Banda la Wizara ya Fedha kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA NANENANE

Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kusini, Ndandavala akipewa maelezo na Ofisa Uhusiano  Muandamizi  Salim Kimaro alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonyesho ya Nananane.Afisa Uendeshaji Muandamizi Bi. Kabona Kandoro akitoa Maelezo ya faida mbambali kwa mmoja wa wakazi wa Lindi waliotembelea kwenye banda la NSSF.Mmoja wa watu waliojitokeza katika banda la NSSF wakati wa maonyesho ya Nanenane mkoani Lindi. Wakazi wa Mkoa wa Lindi wakipata maelezo kuhusu mafao yanayotolewa na Shirika la Taifa la...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU GEPF KWENYE MAONYESHO YA ELIMU YA KIMATAIFA LAVUTIA WENGI

 Ofisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Albert Kitunga, (kulia) akimsajili mwanachama mpya wakati wa maonesho ya elimu ya kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam, kushoto ni Ofisa mwenzake wa Mfuko huo, Jacob OndaraWateja wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF wakijisajili sanjari na kupewa vitambulisho vya uanachama wa mfuko huo katika maonesho  hayo.

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA BENKI KUU LAWAVUTIA WENGI KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Wadau wakiendelea kumiminika kwa wingi kwenye Banda la Benki Kuu lililopo kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Mmoja wa Maafisa wa Benki Kuu akitoa maelezo kwa Wadau waliotembelea kwenye Banda hilo ili kufahamu maswala mbali mbali ya Kibenki,wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Benki Kuu wakiendelea kutoa somo wa watu mbali mbali waliofika kwenye banda hilo,huku moja...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wamiminika ndani ya banda la MeTL GROUP maonyesho ya Sabasaba jijini Dar

DSC_0086

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji (wa pili kushoto). Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali na Kushoto ni Afisa Mauzo wa MeTL GROUP, Yusuf Sadiq.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mkewe akiwasili katika banda la Makampuni ya MeTL Group...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini jana, Julai 4, 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la NSSF lawa gumzo maonyesho ya kimataifa ya 39 (Sabasaba) viwanya vya Mwalimu Nyerere Dar

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Kazi na Ajira atembelea Banda la GEPF kwenye maonyesho ya Sabasaba jijini Dar leo

Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam leo.Mwenye Fulana nyeusi ni Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce Best Ntukamazina. Meneja Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF,Bw. Aloyce Best Ntukamazina akitoa maelezo ya kina kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani