Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Banda la NSSF lawa gumzo maonyesho ya kimataifa ya 39 (Sabasaba) viwanya vya Mwalimu Nyerere Dar

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).  Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao. Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

 Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Banda la Tigo lafurika viwanja vya maonyesho ya Kimataifa Sabasaba

DSC_4592

Afisa wa mauzo wa Tigo Bi Annia Ernest akitoa huduma kwa mteja wake aliyefika kwenye banda la Tigo.

DSC_4581

Watoto wakifurahia kucheza pamoja kwenye michezo mbalimbali iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo kwenye maonyesho ya sabasaba.

DSC_4583

Wateja waliofurika kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo wakati wa maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba jana jijini Dar es Salaam.

DSC_4615

DSC_4611

Afisa wa mauzo wa Tigo akiwahudumia wateja waliofika kupata huduma kwenye maonyesho ya sabasaba.

DSC_4730

DSC_4721

Wasanii wa kikundi...

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA BIASHARA YAANZA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Lango kuu la kuingilia katika viwanja hivyo. Moja ya mabanda ya maonesho ya biashara likiwa tayari kwa shughuli za maonyesho.
Mteja akiwa nje ya jengo la Chuo Kikuu Cha Dar…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wamiminika ndani ya banda la MeTL GROUP maonyesho ya Sabasaba jijini Dar

DSC_0086

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji (wa pili kushoto). Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali na Kushoto ni Afisa Mauzo wa MeTL GROUP, Yusuf Sadiq.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0063

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mkewe akiwasili katika banda la Makampuni ya MeTL Group...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Mke wa rais, Salma Kikwete, (Kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biasharaya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini jana, Julai 4, 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu(Wapili kulia), akimuhudumia mstaafu, na mwanachama wa Mfuko huo, Jackson F. Salewa, wakati wa siku hya PSPF kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...

 

11 years ago

GPL

VIDEO: MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR (SABASABA)

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 na kufika tamati Julai 10,…

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la ASAS Dairies Ltd lavutia wengi maonyesho ya sabasaba Dar, uongozi wasifu pongezi za Rais Jk

Rais Dr Jakaya Kikwete akipata  maelezo ya  bidhaa  za Asas Daireis Ltd  kutoka kwa Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw Jimmy Kiwelu alipotembelea  mabanda mbali mbali  katika  maonyesho ya  sikukuu ya   sabasaba yanayotaraji  kuhitimishwa kesho jijini Dar es salaam. Rais  Dr  Kikwete  akipata  maelezo ya  bidhaa za Asas Dairies Ltd kampuni  hii  ni  ndio kampuni bora ya  usindikaji maziwa nchini Tanzania kwa miaka mitatu  mfululizo sasa. Rais  Dr Kikwete  akitazama  baadhi ya  bidhaa zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani