MAONYESHO YA BIASHARA YAANZA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR
Lango kuu la kuingilia katika viwanja hivyo. Moja ya mabanda ya maonesho ya biashara likiwa tayari kwa shughuli za maonyesho. Mteja akiwa nje ya jengo la Chuo Kikuu Cha Dar…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.




10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Banda la NSSF lawa gumzo maonyesho ya kimataifa ya 39 (Sabasaba) viwanya vya Mwalimu Nyerere Dar

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39...
10 years ago
Vijimambo30 Jun
BANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM



10 years ago
Michuzi17 Dec
MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
Dewji Blog10 Jul
FASTJET katika maonesho ya 38 ya Biashara viwanja vya Saba Saba†Jijini Dar
Mmoja wa wateja wa Fastjet akipata maelezo ya huduma ya kununua Tiketi ya Ndege kupitia Mtandao wa simu.
Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro akitoa maelezo katika banda la Fastjet “Fastjet ni shirika ambalo linatoa huduma za usafiri wa ndege kwa bei ya chini kabisa, daima tunawajali wateja wetu na ndio maana tumewasogezea huduma karibu na walipo”
“Fastjet ni nzuri sana, ni watu wanaojali wateja, wanawasikiliza sana wateja wao kama sisi Wachungaji lakini kwa kweli ni...
10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI ,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 VIWANJA VYA M.J.NYERERE JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisalimiana Afisa Habari wa Shirika la Taifa la Bima( NIC),Mwanaidi Shemheta alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 katika Viwanja vya Mwalim...