Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FASTJET katika maonesho ya 38 ya Biashara viwanja vya Saba Saba‏ Jijini Dar

unnamed

Mmoja wa wateja wa Fastjet akipata maelezo ya huduma ya kununua Tiketi ya Ndege kupitia Mtandao wa simu.

unnamed (1)

Afisa Mahusiano na Masoko wa Fastjet,  Lucy Mbogoro akitoa maelezo katika banda la Fastjet “Fastjet ni shirika ambalo linatoa huduma za usafiri wa ndege kwa bei ya chini kabisa, daima tunawajali wateja wetu na ndio maana tumewasogezea huduma karibu na walipo”

unnamed (2)

“Fastjet ni nzuri sana, ni watu wanaojali wateja, wanawasikiliza sana wateja wao kama sisi Wachungaji lakini kwa kweli ni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA UZINDUZI RASMI WA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA DAR

Vijana wa Scout walivyokuwa wamepanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akishuka katika viwanja vya Sabasaba jana. Lango kuu la kuingia kwenye ukumbi uliokuwa umeandaliwa maalum kwa mgeni rasmi. Baadhi ya watu waliofurika katika viwanja hivyo.…

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

 Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa  bei  uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Madhari ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda  ya maonyesho ya 39  ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu...

 

11 years ago

Michuzi

ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

 Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa  wateja wao. Muonekano banda la Benki ya Twiga Bancorp lionekanavyo kwa nje ndani ya...

 

11 years ago

GPL

TWIGA BANCORP YAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR‏

Katika kuboresha huduma za kibenki Twiga Bancorp,Afisa wa Benki hiyo,pichani kati Bi Tuddy Lutengano akimhudumia mteja pichani kulia katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl.Julius Nyerere,Shoto ni Meneja wa Tawi lililopo ndani ya Maonyesho hayo,Bi. Upendo Tendewa akihakikisha huduma bora za kibenki zinafanyika na kukidhi haja kwa  wateja wao.…
...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu yanayoanza...

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA BIASHARA YAANZA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Lango kuu la kuingilia katika viwanja hivyo. Moja ya mabanda ya maonesho ya biashara likiwa tayari kwa shughuli za maonyesho.
Mteja akiwa nje ya jengo la Chuo Kikuu Cha Dar…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI ,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 VIWANJA VYA M.J.NYERERE JIJINI DAR

 Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wizara ya Fedha alipotembelea katika banda hilo katika maonesho ya 39 yanayofyanyika katika Viwanja Vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha,Ingiahedi Mduma.
Katibu Mkuu wa Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue  akisalimiana Afisa Habari wa Shirika la Taifa la  Bima( NIC),Mwanaidi Shemheta alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 katika Viwanja vya Mwalim...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani