Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Banda la NHIF lawavutia wengi Zanzibar

BANDA la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Zanzibar limekuwa kivutio kwa wananchi waliofika kwenye maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani hapa. Mamia ya wananchi waliofika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BANDA LA BENKI KUU LAWAVUTIA WENGI KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Wadau wakiendelea kumiminika kwa wingi kwenye Banda la Benki Kuu lililopo kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Mmoja wa Maafisa wa Benki Kuu akitoa maelezo kwa Wadau waliotembelea kwenye Banda hilo ili kufahamu maswala mbali mbali ya Kibenki,wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Benki Kuu wakiendelea kutoa somo wa watu mbali mbali waliofika kwenye banda hilo,huku moja...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA NHIF KIGOMA

Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimsikiliza kwa makini Ofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Dr. Emmanuel Francis wakati akitoa taarifa ya huduma zilizotolewa na Mfuko katika maadhimisho ya uchangiaji damu mkoani Kigoma, pembeni ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Kebwe S. Kebwe. Baadhi ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwenye siku ya Uchangiaji Damu.

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NHIF LAWA KIVUTIO KWA HUDUMA NZURI

 Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Viwanja vya Mnazi Mmmoja, Dar es Salaam jana. Vitengo vya upimaji afya bure, Elimu kwa Umma na Uanachama wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliofika bandani hapo. Mwananchini akihudumiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kuonekana anahitaji huduma ya kwanza katika banda la Mfuko. NHIF imeweka gari maalum kwa ajili...

 

11 years ago

Michuzi

Wateja wamiminika banda la NHIF wiki ya Utumishi wa Umma

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ellentruda Mbogoro akifafanua jambo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Mfuko kwa wadau waliofika bandani hapo kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma. Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma, Grace Michael (kushoto) akihakiki baadhi ya nyaraka zilizowasilishwa kwa ajili ya vitambulisho.  Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wananchj waliofika bandani hapo, wengine ni Luhende Singu na Geofrey...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Banda la TCAA lawakuna wengi

MAMIA ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya Zanzibar wamefurika katika banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kujipatia elimu kuhusiana na masuala ya anga nchini. Akizungumza na Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

WANAMICHEZO , WANANCHI WAJITOKEZA KUPIMA AFYA BANDA LA NHIF UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Na John Nditi, Morogoro
MAMIA ya wanamichezo na wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kupima afya zao.
NHIF Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Makao makuu , wanaendesha zoezi la upimaji wa afya kwa wanamichezo wa Shimiwi sambamba na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni sehemu ya majukumu yake ya kutoa huduma kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla.
Zoezi hilo lililoanza Septemba 27, mwaka huu na litaendelea...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA NANENANE

Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kusini, Ndandavala akipewa maelezo na Ofisa Uhusiano  Muandamizi  Salim Kimaro alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonyesho ya Nananane.Afisa Uendeshaji Muandamizi Bi. Kabona Kandoro akitoa Maelezo ya faida mbambali kwa mmoja wa wakazi wa Lindi waliotembelea kwenye banda la NSSF.Mmoja wa watu waliojitokeza katika banda la NSSF wakati wa maonyesho ya Nanenane mkoani Lindi. Wakazi wa Mkoa wa Lindi wakipata maelezo kuhusu mafao yanayotolewa na Shirika la Taifa la...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA UTT LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA



Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT, Daudi Mbaga akizungumza na wateja waliotaka kujua faida watakazopata baada ya kujiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

banda la Wizara ya Fedha.lavutia wengi maonesho ya sabasaba

Mwananchi (kulia) akiwauliza maswali wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania(kushoto)  juu ya huduma mbalimbali za Benki hiyo leo jijini Dar es salam wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Tasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA )Mzee Boma(wa pili kulia) akisaini Kitabu cha wageni leo jijini Dar es salaam wakati yeye na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) DKT. Joseph Kihanda (kulia) walipotembelea  Banda la Wizara ya Fedha kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani