Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Banda la TCAA lawakuna wengi

MAMIA ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya Zanzibar wamefurika katika banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kujipatia elimu kuhusiana na masuala ya anga nchini. Akizungumza na Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TCAA yatamanisha wengi kuwa marubani

USAFIRI wa anga ni miongoni mwa sekta muhimu kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote duniani. Kwa kuliona hilo, Serikali ya Tanzania ilianzisha Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Banda la NHIF lawavutia wengi Zanzibar

BANDA la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Zanzibar limekuwa kivutio kwa wananchi waliofika kwenye maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi yanayoendelea visiwani hapa. Mamia ya wananchi waliofika...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NSSF LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA NANENANE

Meneja wa Mfuko wa PPF Kanda ya Kusini, Ndandavala akipewa maelezo na Ofisa Uhusiano  Muandamizi  Salim Kimaro alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonyesho ya Nananane.Afisa Uendeshaji Muandamizi Bi. Kabona Kandoro akitoa Maelezo ya faida mbambali kwa mmoja wa wakazi wa Lindi waliotembelea kwenye banda la NSSF.Mmoja wa watu waliojitokeza katika banda la NSSF wakati wa maonyesho ya Nanenane mkoani Lindi. Wakazi wa Mkoa wa Lindi wakipata maelezo kuhusu mafao yanayotolewa na Shirika la Taifa la...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA UTT LAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA



Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT, Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa UTT, Martha Mashiku.Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT, Daudi Mbaga akizungumza na wateja waliotaka kujua faida watakazopata baada ya kujiunga na...

 

11 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA UTT ASSET MANAGEMENT

Ofisa Mwendeshaji Mafunzo  UTT Asset Management, Hilder Lyimo (kulia),  akitoa maelezo kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT jinsi mifuko ya Uwekezaji wa pamoja inavyoweza kumpa fursa ya kushiriki katika Masoko ya Fedha na Mitaji ili kukuza pesa zake.  Ofisa Mwendeshaji wa UTT Asset Management, Ahmed Salmin Mabrouk akielezea faida za kuwekeza katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja inayoendeshwa na utt asset managenet  kwa wananchi waliotembelea banda lao katika viwanja vya Nanenane ...

 

11 years ago

Michuzi

banda la Wizara ya Fedha.lavutia wengi maonesho ya sabasaba

Mwananchi (kulia) akiwauliza maswali wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania(kushoto)  juu ya huduma mbalimbali za Benki hiyo leo jijini Dar es salam wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Tasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA )Mzee Boma(wa pili kulia) akisaini Kitabu cha wageni leo jijini Dar es salaam wakati yeye na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) DKT. Joseph Kihanda (kulia) walipotembelea  Banda la Wizara ya Fedha kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA BENKI KUU LAWAVUTIA WENGI KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Wadau wakiendelea kumiminika kwa wingi kwenye Banda la Benki Kuu lililopo kwenye Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). Mmoja wa Maafisa wa Benki Kuu akitoa maelezo kwa Wadau waliotembelea kwenye Banda hilo ili kufahamu maswala mbali mbali ya Kibenki,wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maafisa wa Benki Kuu wakiendelea kutoa somo wa watu mbali mbali waliofika kwenye banda hilo,huku moja...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU GEPF KWENYE MAONYESHO YA ELIMU YA KIMATAIFA LAVUTIA WENGI

 Ofisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF, Albert Kitunga, (kulia) akimsajili mwanachama mpya wakati wa maonesho ya elimu ya kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam, kushoto ni Ofisa mwenzake wa Mfuko huo, Jacob OndaraWateja wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu GEPF wakijisajili sanjari na kupewa vitambulisho vya uanachama wa mfuko huo katika maonesho  hayo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Banda la ASAS Dairies Ltd lavutia wengi maonyesho ya sabasaba Dar, uongozi wasifu pongezi za Rais Jk

Rais Dr Jakaya Kikwete akipata  maelezo ya  bidhaa  za Asas Daireis Ltd  kutoka kwa Afisa masoko wa kampuni hiyo, Bw Jimmy Kiwelu alipotembelea  mabanda mbali mbali  katika  maonyesho ya  sikukuu ya   sabasaba yanayotaraji  kuhitimishwa kesho jijini Dar es salaam. Rais  Dr  Kikwete  akipata  maelezo ya  bidhaa za Asas Dairies Ltd kampuni  hii  ni  ndio kampuni bora ya  usindikaji maziwa nchini Tanzania kwa miaka mitatu  mfululizo sasa. Rais  Dr Kikwete  akitazama  baadhi ya  bidhaa zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani